Bonge Mpya
Member
- Jul 6, 2021
- 38
- 128
Asante sana. Vipi nikitumia hata haya masanduku ya posta ya mashuleniTafta rafk mwenye sanduku la posta, kisha jaza taarifa kama ulioelekezwa!
Barua itafika ndani ya week 4
Asante kwa elimu ya ziada. Mkuu shukranCha kwanza kabla ya kupokea PIN CODE za ggogle lazima ufanye yafutayo,:
1.Uverify Identity: Ili google waweze kukutumia PIN code lazima ufanye ichi kitu ili gogle wakutambue mtu wanaemtumia ni mtu kweli, ili kuverify Identity unaambatanisha Kitambulisho chako either cha mpiga kura au chaTaifa au Lesseni ya Udereva....
Ni sawa kabisa! Cha msing ujue MWALIMU anaehusika atakupa hiyo barua akipokeaAsante sana. Vipi nikitumia hata haya masanduku ya posta ya mashuleni
Sawa, shukranNi sawa kabisa! Cha msing ujue MWALIMU anaehusika atakupa hiyo barua akipokea
Asante sana. Vipi nikitumia hata haya masanduku ya posta ya mashuleni
Ahaa asante sana... Wewe huwa unatumia sanduku namba ngap ambalo liko active. (Kama Upo ubungo)Lakini mi navyofahamu sanduku la posta ni kama kituo cha mzigo wako kufikia, sio lazima umiliki sanduku.
Unachotakiwa kufanya ni kuchagua posta unayotaka kupokelea hiyo barua. Mfano kama hiyo posta ipo Ubungo basi unachagua namba ya sanduku tu kwa mfano 100 na anwani yako itasomeka kama ifuatavyo:
SELMAX,
P.O BOX 100,
UBUNGO - DAR ES SALAAM
Barua itafika posta ya Ubungo kwenye sanduku 100 kwa jina la SELMAX. Na posta wanakupigia poa simu kama barua itakuwa na namba ya simu au ukienda kuiliza watakuuliza ulituma sanduku namba ngapi na jina ulilotumia mfano hapo, sanduku namba ni 100 na jina ni SELMAX.
Mimi hufanya hivyo ninavyonunua vitu AliExpress na huwa nabadili anwani kama nataka kupokelea mzigo sehemu tofauti.
Ahaa asante sana... Wewe huwa unatumia sanduku namba ngap ambalo liko active. (Kama Upo ubungo)
Mwanzoni nilikuwa naitumia tu kwa ajili ya mafunzo. Badae nkaanza kuweka content na watu wakavutiwa. Hapo ndipo nikaanza rasmi kufanya Blogging, ilikuw mwaka jana mwezi Juni.Selmax kwahiyo umekaa miaka minne yote bila kuwa na ads. Unapataje hela sasa miaka yote hiyo
Ulitumia muda mwingi sana kujifunza. AdSense hailipi sana ila ni ya kuanzia. Mtiti uko kwenye payment methods, tafuta nyuzi nyingi za website humu zipo ikibidi tag wale unaoona walitoa nondo.Mwanzoni nilikuwa naitumia tu kwa ajili ya mafunzo. Badae nkaanza kuweka content na watu wakavutiwa. Hapo ndipo nikaanza rasmi kufanya Blogging, ilikuw mwaka jana mwezi Juni.
Baada ya kuwa napata moderate traffic ndipo likaja wazo la kuweka matangazo ili kujipatia pesa ya blog kujiendesha.
Nafikiri changamoto uliyopo mbele ni kubwa kwasababu sioni watanzania walioweka wazi kuhusu AdSense halisi. Wengi wanaelezea tips tu on what AdSense is and how it makes money.
Mwanzoni nilikuwa natumia Kiswahili lakini nikajagundua kwamba post za kiswahili haziend kabsa views ni chache. Nikaamua kubadili lugha na kutumia English kwasabab contents zangu zinaweza kusomwa na yeyote duniani na akafaidika.Ulitumia muda mwingi sana kujifunza. AdSense hailipi sana ila ni ya kuanzia. Mtiti uko kwenye payment methods, tafuta nyuzi nyingi za website humu zipo ikibidi tag wale unaoona walitoa nondo.
Unatoa contents za lugha gani. Una viewers wangapi kwa mwezi
Sasa mzee kwa hiyo views 50k unatakiwa uwe na hela kabisa. Binafsi sina blog ila kwa ninaosoma shuhuda za waandishi wa nje kwa views 50k unaweza ingiza mpaka $500 ukizingatia na niche yako ni nini. Umechelewa sana kuanza monetization. Tatizo kubwa sisi hatuna PayPal ambayo ni rahisi zaidiMwanzoni nilikuwa natumia Kiswahili lakini nikajagundua kwamba post za kiswahili haziend kabsa views ni chache. Nikaamua kubadili lugha na kutumia English kwasabab contents zangu zinaweza kusomwa na yeyote duniani na akafaidika.
Wakati natumia Kiswahili nilikuwa napata views elfu 8,9,10 hadi 11 kwa mwezi lakini tangu nimeanza kuandika kwa kingereza kwa mwezi napata views elfu 55, 60, hadi 65
Nilipata wazo la kuweka AdSense hivi karibuni na tangu niweke AdSense leo ni siku ya 8 inasoma dola 9. Kutokana na kutofahamu huko mbele itakuaje kwenye malipo ndio maana nikaja kwenye jukwaa hili ili kufahamishwa processes zote.Sasa mzee kwa hiyo views 50k unatakiwa uwe na hela kabisa. Binafsi sina blog ila kwa ninaosoma shuhuda za waandishi wa nje kwa views 50k unaweza ingiza mpaka $500 ukizingatia na niche yako ni nini. Umechelewa sana kuanza monetization. Tatizo kubwa sisi hatuna PayPal ambayo ni rahisi zaidi
Bongo sio wasomaji ukiandika Kiswahili unajichosha labda uwe famous kama kina Bongo5 na uandike umbea. Ningependa kujua zaidi kutoka kwako
Hongera sasa kama umepata $9 basi ukiongeza vyanzo vingine unaweza pata nyingi zaidi. Piga tutorials za YouTube na kusoma miongozo kama Quora na kwingine utapata mwongozo mzuri. Kwa vile una views ni rahisi kabisa kurekebisha mambo ikawa murua. Unaweza nambia niche yako kama ni health, travel, entertainment, au nini.Nilipata wazo la kuweka AdSense hivi karibuni na tangu niweke AdSense leo ni siku ya 8 inasoma dola 9. Kutokana na kutofahamu huko mbele itakuaje kwenye malipo ndio maana nikaja kwenye jukwaa hili ili kufahamishwa processes zote.