Achana na hao wanaokutuma ufanye dhambi, "kupakua", sasa wewe kazi zako hapo baadae si utataka upate matunda yake, i.e. uweze kulipwa kwa kazi yako? Sasa fanya kupakua software za watu, na ukisha jifunza na kuanza kutengeneza na kuweka sokoni, usije lia kuwa watu wanapakua tu......
Think outside the box, nyie wote mnaokimbilia kutoa suggestions za wizi, au ndivyo tulivyo sisi wa-Tanzania?
On thinking outside the box, software nyingi hata hizi za animation utakuta wanazo copies zinaitwa PLE (Personal Learning Editions), na kama hamna, pia unaweza kupata 30 Day's grace period, unajaribu, ukiipenda unanunua, au unaweza kujiongezea muda kwa ku-reinstall operating system in multiple environments n.k.
orodha zaidi.
Houdini: sidefx.com (PLE)
modo:
MODO | The next generation of 3D content creation | The Foundry (15-30Days, extendable just give them a call)
Free 3D Software
Blender: Blender.org
Free 2D Software
Synfig: synfig.org
Tupi:
Tupí | Open 2D Magic
Pia angalia software zinazokusaidia za storyboard. storyboard jinsi utakavyoitengeneza hiyo animation yako. Nadhani kama huna muda wa kutosha, basi wewe kuwa director, lazima storyboard uijue, na wengine wanaweza kukusaidia kwenye actual animation from the storyboard templates.
All the best, happy 2D/3D journey.
As noted, I hate theft of other folks hard work. I will gladly pay for ones' hard work not just to support them but because it is right! Udokozi dokozi hautaijenga jamii yetu.