Jinsi ya kutengeneza video ya Avatar

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,710
Habarin wakuu,
Nilikua nashida na kutengeneza Avatar ya video au kwa wasiofahamu avatar n video kwa kutumia AI (Akili bandia)
Kama mmeshaziona zipo nyingi zimetengenezwa naziona zinazunguka kwene Tiktok

mfano: nilijaribu ya D-ID lakin changamoto hapa hairuhusu avatar za watu maarufu
 
Me ni kama wewe, Niko paleee nasubiri wajuzi wa it watupunguziie maarifa yao ya ada za shule walizolipiwa

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom