Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Mahitaji
Viazi mbatata 4
Cabbage 1/2
Carrot mbili
Vitunguu maji viwili
Pilipili ukipenda
Chumvi
Jinsi ya kupika,
Viazi vikate vidogo sana
Kata mboga zote
Weka mafuta kwenye stir frayer
Anza kukaanga vitunguu, vikianzavkubadilika rangi weka mboga viazi Katanga kwa dakika tano weka mboga nyingine.
Cabbage likianza kushuka chini okoa.
Acha vipoe kwanza wakati unakanda unga wa chapati za kufungia.
Ukisha funga weka kwenye oven kwa dakika 10.
Unaweza kuchanganya cabbage na nyama ya kuku hasa chicken breast au beef.