Jinsi ya kutengeneza spring rolls

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,589
215,187
Mahitaji
Viazi mbatata 4
Cabbage 1/2
Carrot mbili
Vitunguu maji viwili
Pilipili ukipenda
Chumvi

1104443

Jinsi ya kupika,
Viazi vikate vidogo sana
Kata mboga zote
Weka mafuta kwenye stir frayer
Anza kukaanga vitunguu, vikianzavkubadilika rangi weka mboga viazi Katanga kwa dakika tano weka mboga nyingine.
Cabbage likianza kushuka chini okoa.

Acha vipoe kwanza wakati unakanda unga wa chapati za kufungia.

Ukisha funga weka kwenye oven kwa dakika 10.

Unaweza kuchanganya cabbage na nyama ya kuku hasa chicken breast au beef.
 
Mahitaji
Viazi mbatata 4
Cabbage 1/2
Carrot mbili
Vitunguu maji viwili
Pilipili ukipenda
Chumvi

View attachment 1104443

spring rolsi ni chakula kizuri cha Kichina👍napenda sana kula rolsi wakati ambapo inafika sikukuu ya mwaka mpya ya Kichina(pia inayoitwa sikukuu ya spring)
 
Mahitaji
Viazi mbatata 4
Cabbage 1/2
Carrot mbili
Vitunguu maji viwili
Pilipili ukipenda
Chumvi

View attachment 1104443

Jinsi ya kupika,
Viazi vikate vidogo sana
Kata mboga zote
Weka mafuta kwenye stir frayer
Anza kukaanga vitunguu, vikianzavkubadilika rangi weka mboga viazi Katanga kwa dakika tano weka mboga nyingine.
Cabbage likianza kushuka chini okoa.

Acha vipoe kwanza wakati unakanda unga wa chapati za kufungia.

Ukisha funga weka kwenye oven kwa dakika 10.

Unaweza kuchanganya cabbage na nyama ya kuku hasa chicken breast au beef.
pia mnaweza kutumia nyama na mboga mbalimbali k.m karoti, kabeji, uyoga n.k
kwa kawaida sisi Wachina hupenda nyama na kabeji, pia nyama na karoti.
Alaa~ tamu kabisa
 
Via I, sweet peppers, njegele vyote vinafaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom