Tumia bliss naturalist hair stylish gel bei ni elfu 25 au tumia Styling Dredz Mouldin Gel wax yenyewe bei ni elfu 15 madogo yake 7000.
pia tafuta twist sponge hii inauzwa elfu 40000. hii ndio inatumika kuzivuruga nywele na kutengeneza hizo rough. mimi ndio natumiaga hizo vitu. ukishakua na hivyo vitu ni rahisi na unasave saana. No need ya kwenda saloon