Jinsi ya kutengeneza mvuto wa pesa

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Jan 27, 2021
449
882
Habari wana Jf,

Baada ya maombi mengi kutoka kwa wadau tofauti leo hii nakusudia kuwaelekeza namna ya kutengeneza mvuto wa pesa, nashambuliwa sanna kwa maneno mengi mabaya ya baadhi ya watu bila kuelewa hasa wanakereka na nini mimi nikisaidia watu.

Naam kuna dawa ya kuoga kila mwaka kwa ajili ya kutengeneza mvuto wa pesa, unapaswa kua na vifuatavyo ili kuwezesha kutengeneza dawa hio;

1. Senti hamsini ya chuma.
2. Shilingi tano ya chuma.
3. Shilingi hamsini ya chuma.
4. Shilingi miatano ya chuma.
5. Gamba la kaka kuona.
6. Unga mti mpesa pesa.
7. Maji ya waridi.
8. Maji ya marashi.
9. Maji ya mvua.

Baada ya kuapata hivyo vitu unapaswa kufanya hii dawa siku ya ijumaa saa nane kamili mpaka saa tisa.

Weka maji ya waridi na changamya na maji ya mvua kisha changanya hivyo vitu vyote na uweke jikoni, lazima jiko la mkaa unapaswa kuvichemsha sana mpaka usikie harufu ya chuma.

kisha ipua na uwache maji yapoe na yawe vugu vuguvugu.

baada ya hapo utayaoga hayo maji katika sehemu ambayo siyo chafu, kisha utasema haya majina mara 5 kila jina
Ewe Bihamyahaf * 5
Ewe Bijammah * 5
Ewe Yaghfir *5
Ewe Mayhaqar* 5
Ewe Masil * 5
Ewe Shahun *5
Ewe Bijahun *5
Ewe Malayhun *5

Utasema kwa utukufu wenu na baraka zenu enyi washika viti vya enzi pesa iwe ni vazi langu, iwe ni kiti changu pesa initii popote ninapoihitaji inifuate, utaoga kisha utavaa nguo.

Hii unapaswa kufanya kila mwaka haitakosekana pesa kwenye umiliki wako.
 
Habari wana Jf
Baada ya maombi mengi kutoka kwa wadau tofauti leo hii nakusudia kuwaelekeza namna ya kutengeneza mvuto wa pesa
Nashambuliwa sanna kwa maneno mengi mabaya ya baadhi ya watu bila kuelewa hasa wanakereka na nini mimi nikisaidia watu

Naam kuna dawa ya kuoga kila mwaka kwa ajili ya kutengeneza mvuto wa pesa unapaswa kua na vifuatavyo ili kuwezesha kutengeneza dawa hio
1. cent hamsini ya chuma
2. shilingi tano ya chuma
3. shilingi hamsini ya chuma
4. Shilingi miatano ya chuma
5. Gamba la kaka kuona
6. unga mti mpesa pesa
7. maji ya waridi
8. maji ya marashi
9. Maji ya mvua

Baada ya kuapata hivyo vitu unapswa kufanya hii dawa siku ya ijumaa saa nane kamili mpaka saa tisa

weka maji ya waridi na changamya nanmajibya mvua kisha changanya hivyo vitu vyote na uweke jikoni lazima jiko la mkaa unapaswa kuvichemsha sana mpaka usikie harufu ya chuma

kisha ipua na uwache maji yapoe na yawe vugu vuguvugu

baada ya hapo utayaoga hayo maji katika sehemu ambayo sio chafu kisha utasema haya majina mara 5 kila jina
Ewe Bihamyahaf * 5
Ewe Bijammah * 5
Ewe Yaghfir *5
Ewe Mayhaqar* 5
Ewe Masil * 5
Ewe Shahun *5
Ewe Bijahun *5
Ewe Malayhun *5
Utasema kwa utukufu wenu na barka zenu enyi washika viti vya enzi Pesa iwe ni vazi langu, iwe ni kiti changu pesa initii popote ninapoihitaji inifuate, utaoga kisha utavaa nguo

Hii unapaswa kufanya kila mwaka haitakosekana pesa kwenye umiliki wako
Unafanya shirk/ushirikina kwa njia hii na uwezekano wa kuingiliwa na hayo mapepo yaliyoorodheshwa hapo juu ni mkubwa. Fanya kazi kwa juhudi na maarifa, tengeneza connection na watu wa maana, omba Mungu Muumba kupitia Yesu Kristo utafanikiwa.
 
hii si shirki
 
Wewe unawza nitafutia hivyo vitu
nenda maduka ya kariakoo ya madawa ya asili na ununue gamba la kaka kuona, maji ya waridi na mpesa pesa kisha nenda manazi mmoja ukanunue pesa za zamani nilizoziorodhesha kisha tafuta maji ya mvua wala sio tabu kupata hivyo vitu
 
Unafanya shirk/ushirikina kwa njia hii na uwezekano wa kuingiliwa na hayo mapepo yaliyoorodheshwa hapo juu ni mkubwa. Fanya kazi kwa juhudi na maarifa, tengeneza connection na watu wa maana, omba Mungu Muumba kupitia Yesu Kristo utafanikiwa.
eti shirki nikwamhie ukweli wachungaji na masheikh ndio wateja wangu wakubwa
 
nenda maduka ya kariakoo ya madawa ya asili na ununue gamba la kaka kuona, maji ya waridi na mpesa pesa kisha nenda manazi mmoja ukanunue pesa za zamani nilizoziorodhesha kisha tafuta maji ya mvua wala sio tabu kupata hivyo vitu
Nisije fanya jini akatokea nikafa
 
Back
Top Bottom