Shukrani Mkuu kwa hii taarifa, umenifungua kituLogo hutengenezwa kwa software mbalimbali kama vile, Adobe illustrator, Adobe photoshop, Cinema 4D, Coral Draw na software zingine nyingi, hizo nilizokutajia ndio software muhimu zaidi. Kikubwa kabla ya kutengeneza Logo unapaswa kua na utaalama yani (skills) kwani hii ni taaluma km taaluma zingine unapaswa kuzifahamu hizi software kiundani pia kufahamu mbinu mbalimbali za kubuni Logo kwani kubuni pia ni utaalamu tofauti na kujua kuitumia software sababu kwa watu huweza kuitumia software vizuru lkn hawana ubunifu wa Logo. Naweza kukusaidia na kwa yeyote anayehitaji huduma hii anione. Mafunzo ni wiki moja unapata ujuzi ambao utaenda kujiajili.
*Utaweza kutengeneza Logo mbalimbali za Makampuni, Taasisi, Bidhaa N.k
*Pia Utaweza kutengeneza Logo kwa ajili ya Tshirt Printing.
Kwa Maelezo zaidi pamoja na Mawasiliano tembelea ukurasa wetu wa Instagram. @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers
Angalizo: Mafunzo haya sio Bure Maana mwenyewe yalinigharimu kuyapata hivyo utapaswa kuchangia Tsh: 60,000/= ikiwa pamoja Software mbili yaani Adobe ullustrator na Adobe Photoshop zote ni Latest.
HIO MICROSOFT 2007 NI OFFICE AU?LOGO MAKER, MICROSOFT 2007
NIPO TAYARI KWA MAFUNZO..JE UNANIFUNDISHIA WAPI?Logo hutengenezwa kwa software mbalimbali kama vile, Adobe illustrator, Adobe photoshop, Cinema 4D, Coral Draw na software zingine nyingi, hizo nilizokutajia ndio software muhimu zaidi. Kikubwa kabla ya kutengeneza Logo unapaswa kua na utaalama yani (skills) kwani hii ni taaluma km taaluma zingine unapaswa kuzifahamu hizi software kiundani pia kufahamu mbinu mbalimbali za kubuni Logo kwani kubuni pia ni utaalamu tofauti na kujua kuitumia software sababu kwa watu huweza kuitumia software vizuru lkn hawana ubunifu wa Logo. Naweza kukusaidia na kwa yeyote anayehitaji huduma hii anione. Mafunzo ni wiki moja unapata ujuzi ambao utaenda kujiajili.
*Utaweza kutengeneza Logo mbalimbali za Makampuni, Taasisi, Bidhaa N.k
*Pia Utaweza kutengeneza Logo kwa ajili ya Tshirt Printing.
Kwa Maelezo zaidi pamoja na Mawasiliano tembelea ukurasa wetu wa Instagram. @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers @gt_printers
Angalizo: Mafunzo haya sio Bure Maana mwenyewe yalinigharimu kuyapata hivyo utapaswa kuchangia Tsh: 60,000/= ikiwa pamoja Software mbili yaani Adobe ullustrator na Adobe Photoshop zote ni Latest.
Mafunzo yanatolewa Ofisini, Tupo Mbezi luis (Mbezi ya Kimara), kwa wakazi wa Dar es salaam, ni Rahisi zaid ukifika Mbezi ya Kimara kituoni, Tupigie simu tutakufata ulipo. +255 657 729 394.NIPO TAYARI KWA MAFUNZO..JE UNANIFUNDISHIA WAPI?
apo umemdanganya mr kwa logo Maalum wengi wanatumia adobe photoshopLOGO MAKER, MICROSOFT 2007
YAH NI MAUTUNDU TUHIO MICROSOFT 2007 NI OFFICE AU?
nadhan n kukalili tu logo s mpaka uwe na picha tembelea ukurasa wangu wa fb utaona tuH
apo umemdanganya mr kwa logo Maalum wengi wanatumia adobe photoshop
Mafunzo yanatolewa Ofisini, Tupo Mbezi luis (Mbezi ya Kimara), kwa wakazi wa Dar es salaam, ni Rahisi zaid ukifika Mbezi ya Kimara kituoni, Tupigie simu tutakufata ulipo. +255 657 729 394.