Id cards zipo za aina nyingi, japokuwa jukusema za aina gani, nikimaanisha materials inayotumika kutengeneza sababu kwa sasa kuna ID za plastics, embossed, manila na hizi kama za Bank n.k
Njia rahisi ya kudesign Id cards ni kwa kutumia Ms Publisher ambayo watu wengi wanaitumia.
kwa upande wa software gani ni nzuri, kwa maoni yangu inategemea na utaalam wako katika graphics upo juu kiasi gani.
software zinazotumika zaidi ni Photoshop, Publisher, Gimp and CorelDraw.
Pia jaribu kupitia hizo sample nilizoattach.