Jinsi ya kutengeneza ID Cards naomba msaada

Jinsi ya kutengeneza ID Cards naomba msaada

kama una Epson na ushafanya installations... tafuta setup ya Epson R290 instal pia.

design ID zako kisha ziweke kwa template iliopimwa for R290 (ninayo ya illustrator).

insert ile plate ya kuprint ID kwenye printer (inauzwa 70).

fungua template ya illustrator weka IDs kisha command print. nenda Printer Prefference au set up, chagua Best Photo, CD/DVD then a4 afu print

Mimi ninatumia p50 na kazi zangu kubwa ni IDs za PVC na Kuprint CDs

nitajaribu kukuelezea vizuri nikiwa kwenye PC

Yani we umegusa ninapopataka, je unatumia wino huuhuu wa picha? Hata kwa id za plastic?
 
.......Mimi ninatumia p50 na kazi zangu kubwa ni IDs za PVC ......
  • Hizi PVC card zikiwa 100 je zinauzwa tsh ngapi?
  • Na kwa hapa Dar ni wapi zinapatikana? Puppy
 
Last edited by a moderator:
Puppy

Mkuu nakucheki inbox kwa maelezo zaidi.
 
Last edited by a moderator:
  • Hizi PVC card zikiwa 100 je zinauzwa tsh ngapi?
  • Na kwa hapa Dar ni wapi zinapatikana? Puppy

Card Moja kwa rejareja nanunua shilling 400 mpaka 500, kwa jumla ni 300 mpaka 350.

Kwa Dar Es Salaam najua zinapatikana sana, sema mimi sio mwenyeji sijui ni duka gani.
 
Last edited by a moderator:
Yani we umegusa ninapopataka, je unatumia wino huuhuu wa picha? Hata kwa id za plastic?

Ndio wino ni huo huo la muhimu ni uangalie wakati wa kununua wino, usichanganye ule mwepesi na mzito, kama ni mwepesi nunua makopo yote mepesi au kama ni mzito fanya hivyo hivyo.

Card inakauka ndani ya dakika tano na kufaa matumizi kabisa
 
mkuu nakucheki inbox kwa maelezo zaidi..

Sawa mkuu. Materials mengi sijui upatikanaji wake, huwa naletewa. Semi-Glossy ya busines Cards mwenyewe naitafuta sana, wanasema Mwanza zipo
 
kwa anayejua upatikanaji wa semi-glossy za business card atujuze tafadhali.. hili lishakuwa jukwaa la branding ....

kwa yeyote aliyeko popote zinapopatikana aje hapa
 
Mwl.RCT

mw rct... unatumia wino wa aina gani kwenye hiyo p50.
 
Last edited by a moderator:
mw rct... unatumia wino wa aina gani kwenye hiyo p50.
  • Wino ninaotumia ni huu pichani
postjfjan19.jpg
Chanzo| ​https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/790892-nikisafisha-picha-kwa-tsh-2000-itanilipa.html
 
Ndio wino ni huo huo la muhimu ni uangalie wakati wa kununua wino, usichanganye ule mwepesi na mzito, kama ni mwepesi nunua makopo yote mepesi au kama ni mzito fanya hivyo hivyo.

Card inakauka ndani ya dakika tano na kufaa matumizi kabisa

Hapa ndipo napopataka. wino mwepesi DYE ink au wino mzito PIGMENT INK au sublimation.

navyojua kama unabadilisha wino ni lazima uwe na ciss mbili. kwaajili ya kila aina ya wino. au usafishe system kabisa kabla hujabadilisha wino.
 
Tumia fargo printer zinatumia ribbon mkuu. Kama una kazi nione. Id za pvc
 
Natafuta Bussiness Card Paper Arusha, Wapi?
 
Back
Top Bottom