Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

musabuze

Member
May 25, 2018
30
25
Habari Wana JF,

Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding.
Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni Kazi
Kama Kazi Zingine ila Kuwa na Shauku ya Kuwa na App Yako ni Mahitaji Kama Yalivyo Mahitaji Mengine.

Uzi Huu ni Mahususi Kwa Wale Wenye Hitaji la Kuwa na App za News Kama Mtilah Blog,Udakuspecial,
Millardayo na zingine Zinazofanana Bila Ya Wao kuwa na Ujuzi wowote Wa Programing.

SAMPLE ZA HIZO APPLICATION
Tafuta Instagram Yangu @ musserbuze Kisha Bonyeza Link Iliyo Kwenye Bio ,
Kisha Download MusserBuze App au Buze App Uziinstall na Uzijaribu Ipasavyo Upate Uelewa Zaidi Wa Huu Umuhimu Wa Huu Uzi

CHUKUA HATUA SASA
Tafuta Channel Inaitwa SwahiliSkills Katika YouTube Uangalie Full Turtorial Jinsi Ya Kutengeneza Hizo Apps Kipande 1-5
Usisaite Kusubscribe,Kucomment na Kushare Endapo Video Hizo Zitakusaidia.
Introduction
Part 1
Part2
Part 3
Part 4
Part 5
 

Attachments

  • Screenshot_20200326-122138.png
    10.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20200326-122147.png
    74 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200326-122411.png
    202.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200326-120143.png
    51 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200326-120741.png
    203.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200326-121441.png
    229.6 KB · Views: 8
Asante mkuu

From JF App
 

Lipia tangazo
 
Naomba kujua kwanini watu wanahangaika na programming kama kuna njia rahisi kama huu?
Pograming ni kwa mtu ambaye anataka Kwenda kwa Undani Zaidi Kuhusu Applications lakini kwa mtu wa kawaida anayetaka app Hakuna Haja ya yeye Kujua Coding
 
Naomba kujua kwanini watu wanahangaika na programming kama kuna njia rahisi kama hii?
Kwani mkuu hio app ya rahisi pia si imetengenezwa na programmer? Hapo ni programmer amekuwa mbunifu kutengeneza kitu ambacho layman anaweza akatumia.

Ukienda codecanyon template za aina hii zipo nyingi tu ambazo zina Admin panels mtu yoyote hata asiejua html anaweza tumia.
 
Fulsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…