Kwako kina VVD hawakabi, wanaacha ukafunge tu.
Abiria chunga mzigo wako 😂😂Nimeona ulivyombana akabanika nimecheka leo
Hakika!Abiria chunga mzigo wako![]()
Vitu gan, na nn nifanye?
Aseee 😍😍Maana yake beki zangu kwako hazikabi.
VVD = Vigil van Dijk (Beki bora duniani kwa sasa).
Aseee 😍😍
Yaani uko romantic katika namna ya kibabe 😊😁
Hahaha, mimi najua wewe ni sports lady, hivyo tunaongea lugha moja.
Yeah,naona 😁
Sawa, ntajitahidi kuacha hizo za kuwataja mabingwa wa UEFA mbele yako.
😂😂😂😂
Hebu niache basi
Tusubiri comeback yetu hamtaamini