falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,220
- 9,342
Kilichomtambulisha Mo,baresa,mengi kwa watanzania karibia mamilioni,si haiba yake,si matendo na kazi zake tu kikubwa ni pesa aliye nayo. .so tufunge mkanda tutafute pesa kwa nguvu zetu,bila kusahau kumwomba MunguView attachment 910133View attachment 910149

Working hard does not guarantee success....working smart DOES. Kwahio usikurupuke tu kumenya machungwa bila kujua wateja watatoka wapi,JIPANGE.Tafuta hela kwa nguvu zako zote,sana sana ukiwa kijana,ukiajiriwa au ukijiajiri fanya kazi kwa bidii bila kusahau kumshukuru Muumba kwa sala na zaka.
Tafuta hela kama muuza machungwa anayeyamenya na hajui mteja atakuja saa ngapi?
Kama mkaanga chips,mihogo, samaki,maandazi na hajui wateja watatoka wapi?
Mtembea bure si sawa na mkaa bure,Atafutae hachoki,haba na haba hujaza kibaba.
Bila kusahau kuwa na matumizi kiasi,usinunue kitu ambacho hukukipangia bajeti.
Bandu bandu humaliza gogo.
Wasalam
Unajua watu (hasa watanzania) hawapendi kabisa kuelezwa ukweli.Tafuta hela kwa nguvu zako zote,sana sana ukiwa kijana,ukiajiriwa au ukijiajiri fanya kazi kwa bidii bila kusahau kumshukuru Muumba kwa sala na zaka.
Tafuta hela kama muuza machungwa anayeyamenya na hajui mteja atakuja saa ngapi?
Kama mkaanga chips,mihogo, samaki,maandazi na hajui wateja watatoka wapi?
Mtembea bure si sawa na mkaa bure,Atafutae hachoki,haba na haba hujaza kibaba.
Bila kusahau kuwa na matumizi kiasi,usinunue kitu ambacho hukukipangia bajeti.
Bandu bandu humaliza gogo.
Wasalam
Hela uitafute au hela ikufuate? Yaani ijinase kwako kama sumaku?Mimi ninaamini pesa inakuja ikiwa kama umeitafuta, tena kwa bidii na kwa uaminifu pamoja na uadilifu tena ukiwa na nidhamu.....
Na pia tusitafute hela tukasahau familia, kuna kisa cha Bwana mmoja alikiweka huku,baba yake alipata kiinua mgongo akakimbia akaacha familia akaenda ishi kwa kimada zilipoisha akarudi kuomba msamaha akakuta na wife kastaafu ela yake akashusha mjengo mbezi Luis. Akina mama walivyo na softicated house akamsameheHela uitafute au hela ikufuate? Yaani ijinase kwako kama sumaku?
Hapa I think mkuu umeiweka vizuri naomba na mimi nijazie kidogo
i) Uaminifu
ii) Uadilifu
iii) Ubunifu
iv) Malengo na
v) NIDHAMU
lazima ifike mahali ndugu mtafutaji mwenzangu ujipime katika haya, je, unayo? Kwa kiwango gani? Sababu wakat mwingine tunakua bize sana kutafuta hela kiasi ambacho tunasahau kuzifanyia kazi hizi dondoo hapo juu sababu hizo ndio "sumaku" yenyewe ya kuvuta pesa!
Mfano suala la NIDHAMU unaweza ukatafuta pesa ukazipata halafu hauna NIDHAMU my friend utarudi kule kule ulipotoka!
Before working for money work for yourself first!
Kilimo ni changamoto zaidi mkuu, nikijaribu kukumbuka Wale wazee wa miti,vitunguu,mpunga Iringa,sijui mananasi kiwangwa siwasikii tena. Ilikua ikifika alhamisi wanaanza mbwembwe wk end Shamba.SIKU HIZI MKO WAPIIII??Hakuna kazi au biashara isiyokosa changamoto hasa ufugaji na kilimo muhimu ni uvumilivu na kufocus
Mkuu hii heading imekaa vizuri, nimekubali kurekebisha, hope mods watalifanyia kaziJinsi ya kutafuta hela na kuzifanya zisikukimbie .....
Suggested heading

Working hard does not guarantee success....working smart DOES. Kwahio usikurupuke tu kumenya machungwa bila kujua wateja watatoka wapi,JIPANGE.
Mkuu uadilifu sio lazima sana 75% tuna apply kinyume cha uaminifu kupata kipato zaidHii ni kweli kabisa bila kupepesa macho
Mkuu uadilifu sio lazima sana 75% tuna apply kinyume cha uaminifu kupata kipato zaid
hivi hakuna mabandiko yanayoweza kuhamasisha kumtafuta MUNGU pia?Nilijua watasoma na kupita maana hili la kutafuta wengi hawamo ila kusifia matajiri tu
