laii
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 853
- 1,120
Tafuta hela kwa nguvu zako zote, sana sana ukiwa kijana, ukiajiriwa au ukijiajiri fanya kazi kwa bidii bila kusahau kumshukuru Muumba kwa sala na zaka.
Tafuta hela kama muuza machungwa anayeyamenya na hajui mteja atakuja saa ngapi?
Kama mkaanga chips, mihogo, samaki, maandazi na hajui wateja watatoka wapi?
Mtembea bure si sawa na mkaa bure, atafutae hachoki, haba na haba hujaza kibaba.
Bila kusahau kuwa na matumizi kiasi, usinunue kitu ambacho hukukipangia bajeti.
Bandu bandu humaliza gogo.
Wasalam