Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Sizan kama inafanya kaz uchukue, mashiringi mengi uyatie kwenye maji, bakuli, baba ramsi waambie binadam kila kitu kinajengwa na imani binadam angejielewa, ni mtu wa aina ipi anauwezo mkubwa sana, kwakuwa hatuelew mambo. Na hata naamin nikikuuliza ili binadam awe na imani afuate taratibu zipi! Sizan kama utakuwa na jibu sahihi, zaidi utajibu kile ambacho na ww uliambiwa. Ndio mana wengine kwa kutoelewa hiyo iman ni kitu gani! wengi wenu au wenye maalifa kidogo ya hiyo kitu imani mnajikuta mnawaaminisha watu kwa njia za kihuni kama unavyofanya ww na lengo kwa maslai binafsi ili mpate pesa, lakini nawaambia kila binadam anauwezo, mkubwa wa kufanya mambo pasipo mizizi au mambo ya kando mkuu unisamehe nimeongea pumba hapa nimelewa
 
USHINDI WA KAMARI:

Hii ni spell rahisi itakayo kufanya ushinde michezo mbalimbali ya kamari.

lakini kumbuka kuwa kamari ni michezo mibaya na haramu lakini watu wamejikuta wakicheza na kulazimika kucheza kwa sababu imepewa kipaumbele maeneo mengi sana sasa kuliko kukosa kabisa na kupata madhambi yasiyo na faida heri utumie njia za kuweza kufilisi wahuni,

449528_origd885.jpg


Ushindi wa kamari sio tu unategemea bahati yako bali pia unategemea uwezo wako wa kuunganisha nguvu yako chanya kuweza kupata matokeo chanya na jinsi unavyoweza kutumia nguvu hii kubadili bahati yako mbaya na kuwa nzuri na kuepukana kukosa yale unayoyahitaji

kuna watu wengi wakiingia kucheza kamari hushinda jackpot lakini ukiwaangalia ni watu wa kawaida tu kama sisi hawana tofauti isipokuwa wanakuwa tu wamechannel vizuri nguvu zao za kufanya mambo kuwa chanya na wewe pia unaweza,

kitu unachotakiwa kufanya ni kuchannel nguvu yako ili uweze kupata kuaccess sehemu ya roho yako ambayo inaweza kuona ushindi ulipo yaani machale ya ushindi,

hivyo kitu cha kwanza ukisha channel hivyo basi utaona ni mchezo gani ambao ukicheza utashinda sio wote tunaweza kushinda mpira wa miguu bali wengine hutakiwa kuwa mashabiki tu na kushindania michezo mingine.

maisha sio rahisi na ili kuweza kuyaishi basi unatakiwa upate pesa kwanza za kukutosha na baada ya hapo ndio uweze kufanya mengine yaliyobaki

, Na pia kuwa na bahati katika maisha yako kuna weza kukusaidia kushinda na kufanikisha mambo mengi sana ya maisha na kuishi kwa bahati nasibu ndio asili ya mwanadamu kwa sababu unaishi hujui mambo yanaweza kukugeuka muda gani dakika yoyote mambo yanajengeka au yanaharibika, na kufanya spell kama hizi si kitu kibaya kwa sababu unachukua msaada kuchannel nguvu ya dunia na roho yako kufanikisha ushindi wako.

na wewe pia unaweza shinda bahati nasibu ikiwa tu utafanya spell ambayo ipo vema na itakayoendana na wewe.
kwa hivyo basi sasa na wewe badili maisha yako kwa kushinda jackpot moja uondoe madeni na uokoe mlolongo wako wa matumizi ya pesa yasiweze kukusumbua tena kumbuka few wins is enough for you to run your life,

pia kuna watu hufanya spell hizi zishindwe kufanya kazi kwa sababu mtu hajiamini wala hakubali ushindi wake na wala hata akishinda inakuwa hana raha wala haoni kuwa imetosha.
Also there are many who may try to cast the spell for the first time and if you have negative thoughts in your mind, don't even try to cast the spell or it may backfire on you. In that case let a professional cast the spell on your behalf.

JINSI YA KUFANYA:

images.jpg


Utatakiwa ufanye usiku wakati unaenda kulala, chukua bakuli la maji au chupa ya maji ya rose water, katika hilo jagi au chupa au kopo weka shilingi nyingi nyingi, halafu ziguse kwa kuingiza mkono kwenye maji hayo. na uanze kusema maneno yafuatayo:

"MORA PONITA PAISIE JOYE" mara 200 kisha toa mkono wako na uuweke kweny paji lako la uso ili maji yale yaguse kichwa chako

Ukimaliza nenda kalale utaota ndoto mtu anakufundisha mbinu zote za mchezo wowote wa kamali utakao muuliza humo ndotoni.

untitled_drawing_by_salomeu2-d6ewzir.png


Hii spell kwa uhakika wa kutoa pesa ni chini ya 2 hadi 3 milioni hivyo usifanye kwa kupiga zaidi ya pesa hizo utajisumbua tu



Baadhi ya majaribio ni hapo chini

RakimsView attachment 1537396View attachment 1537395View attachment 1537397


NB:
Ingawa watu wengi wanashinda michezo ya bahati nasibu yenye majina mengi mengi mazuri, hii haifanyi kamari kuwa nzuri isipokuwa ni haramu kama haramu zingine tu

Dini zote zinakataza mambo haramu kumbuka.

Rakims
Uchawi ni upumbavu uliopita viwango vya kawaida.
 
Worldwide
Kama ni hivyo ni ngumu sana kupanga matokeo kwa mtu mmoja mmoja, ila lazima wame set kwamba wakiweka watu wengi mzigo inaishia odd ya 1.1 au 1.2 😄 halafu wakiona watu wote wame cash out ndege inapaa mpaka kufikia odd ya 100+ ili kutamanisha raia zaid hahahaha. Majambazi haya Shenzi type
 
Kama ni hivyo ni ngumu sana kupanga matokeo kwa mtu mmoja mmoja, ila lazima wame set kwamba wakiweka watu wengi mzigo inaishia odd ya 1.1 au 1.2 😄 halafu wakiona watu wote wame cash out ndege inapaa mpaka kufikia odd ya 100+ ili kutamanisha raia zaid hahahaha. Majambazi haya Shenzi type
Mkuu huu mchezo sina hakika kama kuna namna wamefanya kuwapiga watu. Lakini nilichojifunza ni kiwa na mtaji wa maana. Unaset odds 1.5 inakuwa una autocash. Watu wanapata sana hela kwa huu utaratibu
 
Back
Top Bottom