Jinsi ya kuseti instagram account yako ilike posts automatically!

Jinsi ya kuseti instagram account yako ilike posts automatically!

Jmwasele

Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
78
Reaction score
20
Hey Guys. Leo Nimewaletea Njia Watu Wengi Wasioijua Ya Jinsi Ya Kuseti Instagram Account Yako kulike posts za watu uliowafollow Automatically hivyo kukupunguzia mzigo wa kulike na Kukufanya uwe active follower

Usisahau KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YANGU UWE WA KWANZA KUPATA EVERY SINGLE VIDEO I POST. PEACE ✌

Link
 
Kwa siku saba tu Uncle si ndio?

Nilijua ni trick umeunda mangi. Kumbe App unaipa promo
 
Wataifungia account mapema sana. Spam bot hiyo
 
Kwa siku saba tu Uncle si ndio?

Nilijua ni trick umeunda mangi. Kumbe App unaipa promo
Hapana Mkuu. Nimeicrack hiyo app so utaitumia siku zote hata siku saba zitakapoisha itaendelea kupiga kazi
 
Back
Top Bottom