JINSI YA KUSETI BACKGROUND TEXT KATIKA MICROSOFT WORDS DOCUMENT

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
663
Reaction score
611
Wakuu,kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo.
Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika na kuyafanya maandishi yatokee kwenye background ya document inayoandaliwa kweny Microsoft word,mfano kama vyeti vya necta kuna maandishi madogo mengi yanayosomeka nect,necta,necta kwa stail ya watermark.
 
  • Thanks
Reactions: CHS
haiwezekani labda kwa software au kwa programm zingine akama publisher
 
  • Thanks
Reactions: CHS
Wakuu,kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo.
Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika na kuyafanya maandishi yatokee kwenye background ya document inayoandaliwa kweny Microsoft word,mfano kama vyeti vya necta kuna maandishi madogo mengi yanayosomeka nect,necta,necta kwa stail ya watermark.
Watermark ndo jibu, ukitaka kuweka background kwenye Ms Word.
But hukitaka kutengeneza kama ulivyodai necta, tumia Ms Publisher
 
Nimejaribu kwa publisher pia imefeli sijui nakosea wap?
 
Ukijua jina lake2 hakika utakua ushaipata
 
Kama ishu ni vyeti unapaswa kwenda ktk Microsoft Publisher, ukiingia apo tafuta kitu kinachoitwa page design, mwisho kabisa kulia utaona option ya background. Kikubwa ukiingia ktk Page design utaona vitu vingi sana ambavyo kama mtaalamu wa Microsoft Word haitakusumbua kuvielewa.

Kama una swali karibu!
 
Wakuu,kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo.
Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika na kuyafanya maandishi yatokee kwenye background ya document inayoandaliwa kweny Microsoft word,mfano kama vyeti vya necta kuna maandishi madogo mengi yanayosomeka nect,necta,necta kwa stail ya watermark.
T
 
Back
Top Bottom