Jinsi ya kusave youtube video to Gallery

Jinsi ya kusave youtube video to Gallery

Rasokauzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
518
Reaction score
303
Habari,

Najua mpaka sasa kuna baadhi yetu hatujui ku save/download youtube video na kuiweka kwenye Gallery. Kama wewe ni muhanga wa hili chakufanya chagua njia mojawapo hapo chini utakayoona inakufaaa ku save video.

1. Savefrom.net: Kwenye hii njia cha kufanya search video yako pedwa kwenye youtube kisha click file la share then COPY LINK baada ya hapo nenda google chrome then search Savefrom.net kisha paste hiyo link. Kwa kufanya hvyo utaweza kuisave hyo video kwa mp3/4.

2. Videoder.apk: Hii app ni nzri sana inapatikana kote kasoro playstore na Apple store
3. Tubemate.apk: hii app nayo ni nzuri ila imezidiwa features nyingi sana na videoder
4. Loading...
 
Back
Top Bottom