Jinsi ya kusafisha uke

Lete maelezo basi yako,itasaidia

uke husafishwa na maji safi bila sabuni kila mara uendapo haja iwe ndogo au kubwa, na kila uogapo, baada ya kusafisha uke na maji safi waweza jikausha kwa taulo safi na kavu, ni MARUFUKU kutumia SABUNI kusafishia uke, sabuni huuwa bacteria salama waitwao NORMAL FLORA ambao ndio kinga ya uke usishambuliwe na bacteria hatarishi,toilet paper its highly prohibited kutumika ukeni kwani inavumbi vumbi ambalo sio salama.
 

Ndo maana wanawake wengi wanaojiita wa mjini wanasumbuliwa na maradhi ya uke!
 
Pia tumia detto ya maji na pamba kusafisha uke ni nzuri sana, utapata maumivu kwa muda lakin yataachia
 
Pia tumia detto ya maji na pamba kusafisha uke ni nzuri sana, utapata maumivu kwa muda lakin yataachia

Mmmmh uke unajisafusha wenyewe nyie endeleeni kuuchokonoa fungusi na UTI havitaisha.Only water is enough hayo masabuni hayafai
 

Safi sana Paula umetusaidia wengi humu!!,ngoja nikampe wife maujanja.
 
Pia Kuna Hizi Fursana Ama Sippy Pina Collada Ni Nzuri Kusafishia Uke.
Unakua Unanukia KiFursanaFursana.
 
Maji ya uvuguvugu pia yanafaa hasa kwa kuondoa uchafu uliogandiana ndan ya uko,kwa nyakati za asubuh na jioni,unamwagia maji ukeni kias kisha unaingza kidole cha kati unafanya kukizungusha ndan hivi na kukitoa,utatoka uchaf mweupe rudia mara kwa mara na uchafu huo utaisha...
 
Nyani Ngabu huwezi jua kama mtoa mada ana genitalia gani ingawa anaweza kusomeka au kuonekana ni wa jinsia ya kiume.
Dunia inabadilika kwa kasi ya ajabu sana kwa hiyo usishangae bhana.
Tehe tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
kwani uke una uchafu kiasi gani hadi ujadiliwe?kwa hiyo kina sepetu ni wazuri wa nje tu,hapo ndani ni kutafutana!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…