Naweza kukusaidia,ila na wewe uwe tayari kunisaidia kugharamia muda wangu.....nicheki katika namba hiiWadau ka kuna mtu anafahamu jinsi ya kurecover deleted videos plz anisaidie
Download RECUVA ni program ya bure we ingia net tuWadau ka kuna mtu anafahamu jinsi ya kurecover deleted videos plz anisaidie
ku recover hizo video inategemea,je baada ya kudelete uliweka data zingine kwenye hiyo storage devices? kama hujaweka probability ya kuzirecover ni 98%.download easus data recoveryWadau ka kuna mtu anafahamu jinsi ya kurecover deleted videos plz anisaidie