Jinsi ya Kupokea pesa Via Western Union

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Watanzania wenzangu nisaidieni,kuuliza siyo ujinga.
Tunajua Western Union au Rapid Transfer ni njia za kutuma fedha from nchi 1 kwenda nyingine, sasa kama nataka nipokee pesa kutoka Iran or Italy, mm nifuate taratibu gani hasa ili nipate hizo pesa,
Asanteni
 
Nenda benki yoyote ambapo kuna huduma za kampuni iliyotuma hiyo hela utapewa fomu ya huchukua fedha jaza na upeleke kwa cashier utapewa pesa yako.
 
Watanzania wenzangu nisaidieni,kuuliza siyo ujinga.
Tunajua Western Union au Rapid Transfer ni njia za kutuma fedha from nchi 1 kwenda nyingine, sasa kama nataka nipokee pesa kutoka Iran or Italy, mm nifuate taratibu gani hasa ili nipate hizo pesa,
Asanteni
aliyekutumia pesa Akutumie pia MTCN code na jina lake kamili pamoja na mahali/nchi pesa ilipotokea.

wewe unaenda na kitambulisho chako kinachotambulika.

nenda kwa wakala yeyote wa WU, ukiona bank ina sticker ya Western union basi huyo ndiye wakala.

ukishaingia benki unaomba form ya kupokelea pesa WU . unaijaza na kuipeleka kwa teller pamoja.na kitambulisho chako.

utapewa karatasi 4 za kusaini na utapewa pesa zako. KUMBUKA USISAHAU KITAMBULISHO CHAKO BENKI
 
Asante
 
Habari wanandugu, naomba kuuliza hivi kuna mtu amewahi kupokea hela kwa branch ya azania ya tegeta? najua jamaa huwa wana western union ila sijajua kama inapatikana kwenye branch zao zote, naomba msaada kwa aliewahi tumia hiyo huduma katika benki tajwa hapo juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom