Jinsi ya Kupika mapochopocho ya Ftari.

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,599
1,025
ramadhan Kareem ndugu zangu waislam popote mlipo.

wapendwa ninaomba kwa yeyote anayejua Kupika Ftari anisaidie maelezo ya jinsi ya kupika:

1.viazi vitamu vya Nazi na
Na iliki.

2.Zile tambi za sukari.

3.Yale Magimbi ya Ftari.

Kama kuna mpare humu naomba pia anifundishe jinsi ya Kupika KISHUMBA Cha viazi vitamu na maharage.








SWaumu maqbul to all my dear Muslim brothers n sisters.
 
Mimi najua kupika ile simpo ya mihogo, maharagwe yasiyoungwa na chai ya rangi.
Kama uko tayari futa ubao tuanze darsa...
 
Sijapika futari miaka mingi sana loh.......

Nadhani mihogo/viazi unamenya, unakosha, unabandika jikoni, unakati vitunguu na tui la pili, then baadae unatia tui bubu......
Ikiiva unapakua.....


Hiyo nimeitoa kichwani i hope itakufaa.....

Bila kusahau ukipika futari ya mihogo wekja viazi vitamu kidoooogo ndo inanoga vizuri, ila magimbi sijawahi kupika, siyapendi
 
Tambi kuna aina 2, za pasta na zile nyeupe refu, ss kupka zile za pasta kwnz unakaanga mpk zibadlke rang kdg, alafu unachuja mafuta, den unatia tui/maziwa ya maji na hilik n sukar unakoroga na moto mdg mdg ili ziwive.. Na zikikauka tayar kwa kuliwa!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tambi kuna aina 2, za pasta na zile nyeupe refu, ss kupka zile za pasta kwnz unakaanga mpk zibadlke rang kdg, alafu unachuja mafuta, den unatia tui/maziwa ya maji na hilik n sukar unakoroga na moto mdg mdg ili ziwive.. Na zikikauka tayar kwa kuliwa!!

Sent from my BlackBerry 9900 usingpp JamiiForums

Asante kwa maelezo ya tambi.
Umesema Unajua Kupika Ftari zote pale juu,nitashukuru ukinipa na maelezo ya viazi na magimbi.
Asante sana dear.
 
Wapare mko wapi??
Nifundisheni Kupika KISHUMBA.hiki chakula nakupenda sana,ni Kitamu kupita maelezo.
 
kuna mtu aliwahi kuniambai kuna kitu kinaitwa tambi za kukata!please nataka kujua jinsi ya kuzipika,please anayejua animegee ufundi
 
Back
Top Bottom