MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,796
changanya pia na brocoli, pilipili hoho, carrot na maharage machanga,hapo utazidi kuyapenda maharage, hizo mboga nilizozitaja una zi steam halafu wakati wa kuunga maharage ndio unachanganya pamoja
Unauliza Maharagwe haya haya au unataka uwe unayapika mengiiii unayaweka Frijini kwa jili ya Hali ngumu ya Maisha ya sasa.Maana Siku zoote ulikuwa wapi kuyauliziaaaa??Kweli Tunaisoma kimya kimya.
Yes unaangalia kama yameiva unaendelea kuunga.
Ndio maana usoni umejaa masizi?
Mandondo
Malcolm kama umeweza kuyapika njia rahisi ni kuchemsha ya kutosha kutumia mara mbili au tatu then unagawa na ku freeze. Siku ukiwa na hamu una thaw kiasi tu na kuweka tu viungo ili kupunguza kazi ya kuchemsha mara zote.
Wadau samahani,
Yani kila siku napojaribu kupika maharage ile natoka na kurudi ndani nakuta nyumba imejaa moshi vitu vimeungua sana. Yani hivi mnafanyaje fanyaje wakuu!
Nimechoka kula mama ntilie aisee.
Malcolm kama umeweza kuyapika njia rahisi ni kuchemsha ya kutosha kutumia mara mbili au tatu then unagawa na ku freeze. Siku ukiwa na hamu una thaw kiasi tu na kuweka tu viungo ili kupunguza kazi ya kuchemsha mara zote.
changanya pia na brocoli, pilipili hoho, carrot na maharage machanga,hapo utazidi kuyapenda maharage, hizo mboga nilizozitaja una zi steam halafu wakati wa kuunga maharage ndio unachanganya pamoja
Kamanda upoo?? Siku nyingi sikuoni! Naona hata huku upoakina Nifah wapo watakusaidia haya mambo
Nipo poa kamanda wangu,
Huku kwenye maakuli hakunaga mjanja aisee.
Kui....nawe kumbe mkali!!!!
Wa kupika, of course..