Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

sijawahi kupika chapati ikawa laini nakwama wapi?
Huwa naweka unga kwenye bakuli
Natia pinch ya sukari
Natia mafuta ya moto,nachanganyachanganya mpaka yale madonge yapotee
Natia maji ya moto,nakanda linakuwa donge kubwa halafu nalifunika,baada ya nusu saa nakata madonge na kumalizia hizo process lkn chapati haiwi LAINI, msaada tafadhali nakwama wapi?
Nalog offHu
Ukipigwa nayo usoni lazima upasuke na nundu juu haaà haaa
 
Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana

Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing
Pole sana kwahiyo zikatoka vipi sasa
 
Nilipanga zikitokea vizuri nizipige picha nipost kwa status kule WhatsApp lakini kilichotokea ni aibu tupu

Hizo za kumimina sijajaribu kuzipika lakini nilishakula mara kadhaa hazikunivutia
unanikumbusha nilimwachia mdada apike ile narudi naomba chai kila mtu hana mbavu ni mawe tu
 
Hii kitu si wote wanaiwezaga. Sijui ndio kuna ile dhana labda mkono na mkono wa mtu mwingine zinamkataa tu labda.
Yawezekana wakati wakuchanganya unga na mafuta vizuri pia mafuta lazima yawe ya moto moto kiasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom