Benzoic
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 421
- 149
Hellow, wataalam nawezaje kupiga picha za bidhaa mbalimbali ili iwe rahisi kutoa background kwa photoshop. Kuna kamera ambazo unaweza ku dims background na kutoa only picha ya mbele? Mfano wa picha ninazotaka ni kama hizi hapa chini. Picha kama hizi zinatumika sana kwenye mitandao kama Amazon na Ebay.



