jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
- Thread starter
-
- #161
Lakini mkuu elewa na sisi ndio tunako elekea huko,hatuna budi kujufunza mengi kutoka kwao.Tusiwaone wanigeria kuwa wanaakili za ziada, ni kwakuwa matatizo waliyonayo kwao ni mengi sana. Mtanzania aliemaliza darasa la saba, anaweza kuwa mkulima wa nyanya na mboga mboga. Kwa shughuli hizo anaweza kujenga nyumba ya kawaida na kusomesha watoto elimu ya sekondari.
Population ya wenzetu ni kubwa, kundi la waliosoma ni wengi, chance za kupata mkate wa kila siku tu, mtu mwenye degree ni ngumu.
Ohooooo!!!!!ila mimi ni mpingo wa kizungu, nina undugu na Mario Balotel.Asante lakini mimi ninazimia mipingo kinoma.
😛😛😛😛😛😛Mkuu Wonderful habu mwaga ubuyu hapa kuhusu huyo bibi Wa ki Zimbabwe.[emoji1]
Hahaha...wakati ule target zangu zilikuwa ni kurudi bongo so nikachomoa.Huyo demu wa kizimbabwe nilimuoaga mie.... 🙂🙂🙂
Hahaha...wakati ule target zangu zilikuwa ni kurudi bongo so nikachomoa.
Kuna mzee mmoja m Ghana ni lawyer, basi tu tulikua tunasali church pamoja RC.....huwa tunachangamkiana na tukazoeana sanaa pia tukawa tunakutana often Afro-Carribean Bar & Grill (The Chequers Pub) jirani na home.
Kaniambia kijana tafuta dem ubaki huku mi nitaku guide maujanja yotee all free (Dah sijui nilikua na kismati gan haki ya nani).
Dah yan hata sijui nlikua na nini walahi nikachomoa tena still.
Nimekuwa interested na hao Nigerians.... Natamani nijue kuna kitu gani ndani yao
Dadadeki zao Daaah.... Lakini kweki by nature waTZ wengi kama tumezubaa flani iviWanajeria kitu adimu sana walichonacho Ni kujiamini tuu, awe kasoma au hakusoma. Watz tunapokua nje Ni waoga sana Kama tulivo Hapa kwetu. Nilikua nafikia hotel Fulani nje, hii hotel ukiwa uko Mpole Kama utakua imeingia pale saa 10 usiku wanakuchaji ile siku Na inayofata pia. Wakikumbana Na wanajeria hawajaribu kabisa iyo lugha. Wanawatesa Wamali,Watz,Wasudan Na baadhi ya Nchi.
mbona awamu hii watu wanaulizia sana kuzamia Europe/America???? what is behind the sofa?????? au ni magufuri ndo source????? i wonder.
Siku hizi hatari sana. Immigration TZ wako update sana kwenye system.
Kuna mtu aliingia JK Nyerere Na passport ya Canada, akachukuliwa vidole.
Akaenda wiliyani kuomba passport ya Karatasi, akapata.
Sasa akataka kutumia Ile ya Karatasi kwenda nayo South.
Si akabidi achukuliwe tena vidole kutoka, mambo yote yakawa hadharani.
Pesa ilimliotoka si kidogo Na safari ikaishia hapo hapo Airport.
Kule hamna cha umri wala nini wewe nenda kule as a student iwe ni US or UK then badilisha ngano kuwa mchele.Hivi kijana kuzamia ni mwisho umri gani maana hali inazidi kuwa mbaya....jahazi linazidi kuzama......
Hivi kijana kuzamia ni mwisho umri gani maana hali inazidi kuwa mbaya....jahazi linazidi kuzama......
Hiyo ni gharama ya mwaka mmoja, Na wao kwa sasa hawakupi visa ya course nzima, wanatoa kidogo kidogo. Mfano course ya miaka mitatu wanakupa visa ya mwaka mmoja mmoja mara 3. Na kila mwaka unatakiwa kuonesha hicho kiasi au uwe umeshalipia gharama husika + visa application fees.
Ni do able, course za chuo ni around £5000 hadi £7000
Rent ni £5200 kwa mwaka
Mizunguko Nauli Kula kama £100 kwa wiki. £5200
Hapo unahitaji £17400 *3200= 55,680,000 madafu.
Ova
45 bado unaweza kuzamia Na wapo wameondoka Na saivi wamepewa Passpot ya uk
Mkuu kama nina pesa hii nikikomaa bongo si ninatoka?labda nitumie bank statement ya mtu.
Kule hamna cha umri wala nini wewe nenda kule as a student iwe ni US or UK then badilisha ngano kuwa mchele.
Kama unaweza pata dem mkaoana (ofkoz uwe single) unapata ma paper yako ya permit to stay kwanza plus work permit then baadae sasa ndio waweza kuja omba uraia. Kuna vihunzi flan inabdi uviruke uvitosheleze in a specific time frame. Malengo yako yakitimia unaachana na huyo dem unafanya yako ukipenda lakini.
Yote yanawezekana,lakini fursa za vibarua ni angalau ukilinganisha na hapa nyumbani.wewe nimeelewa sasa, huendi kule kisa hutaki bongo bali unadhan maisha ni mepesi na pesa inapatikana
ni kweli ila ugumu ndo huoYote yanawezekana,lakini fursa za vibarua ni angalau ukilinganisha na hapa nyumbani.
Nina hakika kabisa turnover ya kibarua nje ni tofauti na hapa nyumbani.ni kweli ila ugumu ndo huo
Mkuu kwa ushauri wangu kama utaweza nenda Canada au US....UK hamna deal tena kule life la gharama tu alaf kuna miji kazi kidogo utata.Asante kijana kwa muongozo.....nitafanya kila mbinu ili nifike huko duniani......