Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Hapa Estonia kuna watanzania wanachunga Ng'ombe kwa sanaa!
POle sana pengine walikufananisha, kuvua viatu sio kwaida labda mkanda, pia ku scan vidole ni geni kwangu, wengine pia walifanyiwa hivyo?Duuuh aisee mimi walini scan vidole na kwenye computer nikavua na viatu nikapita na socks separately na my passenger lugage na other stuff vikapita kwa scanner....nilimind sanaa (Dharau hahaha).
Suala Umesafiri Mda Mrefu Ku scan Vidole Hata South Afrika Ipo aisee Ni Identity ambayo wanaigundua kirahisi watu wa Migration walishaona Picha za Watu ni Uzushi so Ukizidisha mda Ukafanikiwa ukarudi Bongo Siku ya Kurudi hata kama Umenyoa kipara na Kubadilisha Jina Ukiingiza Vidole tuu system inakudaka na Kutoa details zako fasta.POle sana pengine walikufananisha, kuvua viatu sio kwaida labda mkanda, pia ku scan vidole ni geni kwangu, wengine pia walifanyiwa hivyo?
Ni kama ile ya BVRPOle sana pengine walikufananisha, kuvua viatu sio kwaida labda mkanda, pia ku scan vidole ni geni kwangu, wengine pia walifanyiwa hivyo?
Ahsante kwa kumjibu. Wana scan kabisa, hata hapo JKNIA wana scan sanaa tu.Suala Umesafiri Mda Mrefu Ku scan Vidole Hata South Afrika Ipo aisee Ni Identity ambayo wanaigundua kirahisi watu wa Migration walishaona Picha za Watu ni Uzushi so Ukizidisha mda Ukafanikiwa ukarudi Bongo Siku ya Kurudi hata kama Umenyoa kipara na Kubadilisha Jina Ukiingiza Vidole tuu system inakudaka na Kutoa details zako fasta.
Basi nashukuru kwa kuni update nasafiri lakini zaidi ni ndani ya EU. Sasa hivi nakuja Bongo naona nitapambana nayo hiyo lakini sio mbaya ni kwa usalama wetu.Ahsante kwa kumjibu. Wana scan kabisa, hata hapo JKNIA wana scan sanaa tu.
Na kwanza hata passport yako ina scaniwa vile vile kama ni fake wafwaa....kule mbele UK or US kuna vi machine unafanya hivyo ku scan passport manually wewe mwenyewe msafiri unapewa na sticker za lugage yako hapo hapo.
Huwez unaomba unaelekezwa (kuna foleni nyuma watu wanangoja).
kama nikihitaji visa ya canada gharama yake inakuaje aise
Siku hizi wana scan vidole pale JNIA. Mwaka jana Desemba, nilienda nchi moja ya Asia, nilivyokuwa naondoka na Etihad wakani-scan, niliporudi waka-scan tena. Ila ya Uholanzi pale Schiphol ndio kiboko, ukishachekiwa kwenye scanner kuna jamaa lazima wakupapase papase tena kujihakikishia kwamba huna kitu mbadala umebeba. Ile ndo inakeera zaidi.Basi nashukuru kwa kuni update nasafiri lakini zaidi ni ndani ya EU. Sasa hivi nakuja Bongo naona nitapambana nayo hiyo lakini sio mbaya ni kwa usalama wetu.
Siku hizi hatari sana. Immigration TZ wako update sana kwenye system.Siku hizi wana scan vidole pale JNIA. Mwaka jana Desemba, nilienda nchi moja ya Asia, nilivyokuwa naondoka na Etihad wakani-scan, niliporudi waka-scan tena. Ila ya Uholanzi pale Schiphol ndio kiboko, ukishachekiwa kwenye scanner kuna jamaa lazima wakupapase papase tena kujihakikishia kwamba huna kitu mbadala umebeba. Ile ndo inakeera zaidi.
Kuwa na passport ya mzungu si masihara kwanza wale hawa simamishwi airport kifal*fal* kokote sayari hii wanaingia bila wasi wowote.usicheze na mzungu,kama unayo passport yake-ukitua tu airport unasimama mbele ya kioo kinascan jicho lako-kama hakuna tatizo exit door inafunguka unaondoka zako-hapo passport wala hujaitoa kwenye bag
Nafkiri haina tatizo mkuu,anaweza kufunguka tu hapa kwa maslahi ya wengi mkuu.Mkuu hi post sikutegemea kuiweka Hapa, unajua niliandika nikasita kuisendi nimeshangaa kuiona, Au jf wameifoward, Na sijui jinsi ya kuifuta.
Duhh,wapi hii mkuu???usicheze na mzungu,kama unayo passport yake-ukitua tu airport unasimama mbele ya kioo kinascan jicho lako-kama hakuna tatizo exit door inafunguka unaondoka zako-hapo passport wala hujaitoa kwenye bag
Heathrow hiyo-British mnaambiwa pita huku tazama kioo hicho mara mlango unafunguka unaenda zako-hawa wenzetu wanapiga sijui niite finger print ya macho-ukiweka jicho tu details zako zote scanner inacheck na abracadabra sign inasema welcome back home lango linafunguka unaishia zako-hakuna foleni hapo yaani unapita tuDuhh,wapi hii mkuu???
Mkuu mimi nina job offer unaweza nisaidia visaKama kuna wadada wanaohitaji kufanya kazi kanada naweza kusaidia kupata visa Na wao watalipiwa harama zote Na kampuni ambayo itapendele
U.K. Mkuu
Mkuu mimi nina job offer unaweza nisaidia visa
Kuna jamaa wapo Upanga wanawachorea sana watu ramani za kwenda UK na USA. Watakufojia mpaka bank statements.
Hawa jamaa wanasaidiana sana kwenye kutafuta maisha duniano pote,tofauti na sisi Watanzania,Hata ukitembelea forum yao ya Nairaland utaona ni jinsi gani wanapeana ideas mbalimbali namna ya kutoboa ughaibuni na nchini mwao pia,Wanigeria washenz sana yako willing hata kujifelisha masomo flan wayarudie ili tu yapate a visa extension. Since unaweza kuta anaambiwa na chuo hayo masomo atayarudia kipindi flan a few months ahead huku akiwa on student visa bila ya kuwa na classes automatically anapata mwanya kupiga job full time whilst enjoying student's benefits.
Watu wanapiga mzigo kama kawa. Washenz sana wale. Wanakuambia akili ya mzungu ilipofikia wao ndio wanaanzia hapo. Its a game of manipulating circumstances. Tehe