Hapa Estonia kuna watanzania wanachunga Ng'ombe kwa sanaa!Mkuu ulikua ulaya ipi? Maana kuna ulaya vijijini kama Estonia, Romania, Wales etc. Yani mzee hawa jamaa wa hizo nchi wanapiga vibarua vya kulima Australia acha kbs, sasa we ukitoka Tz ukaenda hiyo ulaya lazima ujute
Wabongo humu ni wabinafsi, tembelea website ya Naija.com utakutana na mawazo na njia nzuri za kukusaidia....au tafuta Expat forums za New Zeland utakutana na wadau kama wewe wanaotaka kwenda huko.....but hapa kila mtu anataka umpe $2,000 wakati hiyo ni nauli na chenji inabaki!Nilikuwa nawaza kama naweza fika new Zealand msaada wakuu
Shukrani[emoji120]Schengen sio Nchi, ila ni Mji mmoja wapo katika nchi ya Luxembourg, ambako mkataba wa kuondoa vikwazo mipakani kwa baadhi ya nchi za Ulaya ulisainiwa, mnamo mwaka 1985. Mkataba huu wa kuondoa vizuizi mipakani ulisainiwa na nchi tano kwanza, ambazo ni Ubelgiji, Ujerumani (enzi hizo ilikuwa Ujerumani Magharibi), Ufaransa, Luxembourg na Ubelgiji. Kwa sasa nchi zinahusika na mkataba huo zimeongezeka na kufikia 26, zikiwemo Sweden, Finland, Norway, Ugiriki, Italia nk. Uingereza haihusiki na mkabata huo.
Mkataba huu pia ni tofauti na ule wa EU, kwa sababu baadhi ya wanachama wa Schengen si wanachama wa EU, kama vile Uswisi na Norway.
Nadhani nimefafanua kidogo.
Siyo Naija.com ni hii hapa Travel - Nigeria - NairalandWabongo humu ni wabinafsi, tembelea website ya Naija.com utakutana na mawazo na njia nzuri za kukusaidia....au tafuta Expat forums za New Zeland utakutana na wadau kama wewe wanaotaka kwenda huko.....but hapa kila mtu anataka umpe $2,000 wakati hiyo ni nauli na chenji inabaki!
Yeah! asante mkuu!Siyo Naija.com ni hii hapa Travel - Nigeria - Nairaland
TUKO NA LIJAMII FORUMS LINA MAJUKWAA KAMA YA MAPISHI, UREMBO WANASAHAU MAMBO MUHIMUYeah! asante mkuu!
Ndugu jembelamkono mimi naishi Netherland na nina karatasi yaani passport ya hapa nani kuja Bongo kumpuzika kwa muda mrefu kidogo kufanya miradi yangu, kitu kimoja kama tunafanana mimi nakupa unaingia nchi yoyote hapa Ulaya unapenda, wanacho angalia zaidi passport si fake, ikwa safi na tunafanana kama wachina unapita. Ila usingie moja kwa moja UK ingilia nchi nyingine kama zile jamaa amekutajia pale juu. Uk wapo makini kidogoHuo ni mtihani ndugu.
Sasa mkuu,hawaangali fingerprints?na siku ikiisha nikienda ku renew si itakua mtihani mkuu,au?Ndugu jembelamkono mimi naishi Netherland na nina karatasi yaani passport ya hapa nani kuja Bongo kumpuzika kwa muda mrefu kidogo kufanya miradi yangu, kitu kimoja kama tunafanana mimi nakupa unaingia nchi yoyote hapa Ulaya unapenda, wanacho angalia zaidi passport si fake, ikwa safi na tunafanana kama wachina unapita. Ila usingie moja kwa moja UK ingilia nchi nyingine kama zile jamaa amekutajia pale juu. Uk wapo makini kidogo
Yani mkuu mimi huwa nakeleka sana, mimi nilishawahi kuweka post kule Nairaland na wala sikusema kuwa ni Mbongo, ila niliona michango ya watu na njia mbalimbali za msaada, sikuona mtu anaambia nipe $2,000.... kila mtu alikua ananipa mbinu na njia tofauti utadhani wanalipwa kumbe wanajitolea, na wengi wapo nje tayari, mwisho wa siku nikachagua njia moja.....but hapa JF wanasema tafuta $2,000 usaidie, huyo mtu wa kutoa $2,000 hawezi kuja hapa kuomba mbinu za kuondoka, angeenda straight Ubalozi coz yupo sawasawa!TUKO NA LIJAMII FORUMS LINA MAJUKWAA KAMA YA MAPISHI, UREMBO WANASAHAU MAMBO MUHIMU
mimi nimesha ingia na kutoka nchi nyingi tu hawaja wahi kuangalia finger print zangu, labda uwe unawasi wasi na upo very suspected. Hapo watakuchunguza tu. Wengi wanapata taabu wakiulizwa kitu tu wanaanza kutetemeka na kutoa jasho hapo lazima wakung'ang'anie. Sababu hao jamaa mara nyingi wapo very well trainedSasa mkuu,hawaangali fingerprints?na siku ikiisha nikienda ku renew si itakua mtihani mkuu,au?
Na hiyo ni kwa ajili ya kuingilia, ukisha ingia watu watakuelekeza jinsi ya kufanya, kama kujiunga na chuo ukiwa ndani inakuwa rahisi na baadae kupata karatasi yako. Lakini pia ujue unapokwenda kutafuta maisha lazima u buy riski, ni kama kuanza biashara.Sasa mkuu,hawaangali fingerprints?na siku ikiisha nikienda ku renew si itakua mtihani mkuu,au?
mimi nimesha ingia na kutoka nchi nyingi tu hawaja wahi kuangalia finger print zangu, labda uwe unawasi wasi na upo very suspected. Hapo watakuchunguza tu. Wengi wanapata taabu wakiulizwa kitu tu wanaanza kutetemeka na kutoa jasho hapo lazima wakung'ang'anie. Sababu hao jamaa mara nyingi wapo very well trained
visa ya wapi hiyo kiongozi?Ni pm nikupe njia ya shotcut ya kupata visa Ila Uwe Na dola 2000, Na benkstatment yako. Hautoi Pesa mpk upate visa, process zote Ni uhakika. Ukiwa uko smart unajielewa kwenye interview Ndio ujibu kwa umakini kinachokupeleka uk.
visa ya wapi hiyo kiongozi?
Hallo Senior Boss mimi sijawahi fanyiwa hivyo vitu popote, labda safari nitaona, sababu na tembelea Italy kisha nakuja Bongo nikipita bila kuguswa au nikiguswa nitakuletea mrejesho. Mimi wanaangalia pasport wanacheck kama si fake kisha sura basi. Pengine inategemeana na nchi ulizo pitia.Hapo JKNIA yenyewe wanachukua fingerprints. Ulipita airport ipi ??
UK/US kuingia kutoka fingerprints lazima wa scan. Heathrow Airport London wanaku scan hadi utumbo huo *****.
Majinga yalinivua mikanda mpaka viatu. Aibu zingine hizi daah. Laptop unaitoa kwa bag inapita kivyake. Yani yako makini haswaa.
Kuna mwanangu mmoja alikua na kipisi cha ndumu mfukoni....sijui ilikua vp akapita...aargh wale watu nawa fear sana cz wakishakuweka criminal record ni shida sanaa.
Na hii michezo Warundi hapa wanafanya sana na tena wanapitia Bongo, lakini nasikia pia wanachoma vidole sijui ni kweliHapo JKNIA yenyewe wanachukua fingerprints. Ulipita airport ipi ??
UK/US kuingia kutoka fingerprints lazima wa scan. Heathrow Airport London wanaku scan hadi utumbo huo *****.
Majinga yalinivua mikanda mpaka viatu. Aibu zingine hizi daah. Laptop unaitoa kwa bag inapita kivyake. Yani yako makini haswaa.
Kuna mwanangu mmoja alikua na kipisi cha ndumu mfukoni....sijui ilikua vp akapita...aargh wale watu nawa fear sana cz wakishakuweka criminal record ni shida sanaa.
Duuuh aisee mimi walini scan vidole na kwenye computer nikavua na viatu nikapita na socks separately na my passenger lugage na other stuff vikapita kwa scanner....nilimind sanaa (Dharau hahaha).Na hii michezo Warundi hapa wanafanya sana na tena wanapitia Bongo, lakini nasikia pia wanachoma vidole sijui ni kweli
kama nikihitaji visa ya canada gharama yake inakuaje aiseKama kuna wadada wanaohitaji kufanya kazi kanada naweza kusaidia kupata visa Na wao watalipiwa harama zote Na kampuni ambayo itapendele
U.K. Mkuu