Jinsi ya kupata UK Visa

Nu kweli mkuu,kwenye kupambana kuna kupata na kukosa,na kwenye kupata kuna challenge nyingi mara dufu.
 
Nakuunga mkono, maisha ya kule matamu sana, halafu kuna utawala wa sheria ile mbaya, ndio kitu ninacho kimiss kwa hapa bongo. By the way nadhani tumpe mbinu huyu mleta mada aende, ila kama alivyoshauriwa, visa za UK ni kama unataka kwenda peponi, zina masharti sana. Aanzie nchi nyingine za EU, then kutoka hapo ndio aingie UK na kuendelea na maisha mengine.
 
Mkuu kama ulisoma kule huna aja ya kuumiza kichwa kuitafuta RP, wewe tafuta kazi ili upate work permit, kisha utakaa kwa miaka 5 ukiwa umeishi humo UK kwa zaidi ya 88% bila kuondoka na hukuwahi kuhukumiwa then unaomba RP.
 
Ukikaa vijiweni ndivyo unavyowadanganya wenzako hivi? Nenda ubalozi wa Uingereza consular section uone kama Watanzania hawaombi na kupewa viza.

Mjinga sana wewe na unaishi dunia ya kusadikika.
OK ahsante mkuu
 
That is correct anzie nchi za EU...ila sasa akiingia UK awe mjanja na miji ya kuingia aingie kwanza ile miji midogo gharama za maisha kidogo nafuu then akijipanga aingie miji mikubwa kama London cz kule kazi nyingi at the same time gharama za kuishi ziko juu.

Plus afanye feasibility study ya issue za kazi na kuishi kabla ya kutua kule....ajue kabisa kazi za kutunza wazee zinahusu sanaa tu....ukitaka za office/white collar jobs utangoja sanaa (Simply cz He z not a professional/Skilled worker)...anaweza fanya follow up na agency za kazi na kuwasiliana nao on job requirements akifika pale ye anajua cha kufanya.

Lazma mtu ajenge fikra kwamba mwanzo mgumu uki make vihela una apply hata shule unapiga mi night shift huku anajindeleza skul mi course kama nursing et al....kuna siku lazima atakula kivulini tu.

Again njia rahisi kuingia UK ni kuoa...ila ajue tu ni kwa malengo mzungu we wa nini, hustle for the £'s son. Si lazima ndoa ya kanisa.
 

Mkuu ulikua ulaya ipi? Maana kuna ulaya vijijini kama Estonia, Romania, Wales etc. Yani mzee hawa jamaa wa hizo nchi wanapiga vibarua vya kulima Australia acha kbs, sasa we ukitoka Tz ukaenda hiyo ulaya lazima ujute
 
Mkuu kama ulisoma kule huna aja ya kuumiza kichwa kuitafuta RP, wewe tafuta kazi ili upate work permit, kisha utakaa kwa miaka 5 ukiwa umeishi humo UK kwa zaidi ya 88% bila kuondoka na hukuwahi kuhukumiwa then unaomba RP.
I kno my dear wonderful.

We tried that tatzo ni ngumu kupata...they will only sponsor u if there is NO UK citizen that can do that job bruv.

Its just not easy, though inawezekana.
 
I kno my dear wonderful.

We tried that tatzo ni ngumu kupata...they will only sponsor u if there is NO UK citizen that can do that job bruv.

Its just not easy, though inawezekana.
Kabisa.
Wenzwetu wana uzalendo sana, kazi lazima apewe mtu wa kwao kwanza, ikishindikana ndio wakufikirie wewe. Kwa sasa, vile vinchi vya Ulaya Mashariki ambavyo vimejiunga na EU ndio vinasukumia watu wao kwenye hizo nchi kufanya manual labor, ndo sababu visa kwa Waafrika zinakua ngumu. Nchi kama Romania, Latvia, Estonia na nyingine ambazo zilikuwa za USSR ya zamani ndizo zinatoa raia wengi sana kwenda kwenye hio nchi kufanya kazi.
 
I kno my dear wonderful.

We tried that tatzo ni ngumu kupata...they will only sponsor u if there is NO UK citizen that can do that job bruv.

Its just not easy, though inawezekana.

Try another avenue mate, hata Brunei unaeza chomoza
 
Shukrani kwa kunifungua macho mkuu,ningepata hata shenghen visa sio mbaya kwa kuanzia.
 
I kno my dear wonderful.

We tried that tatzo ni ngumu kupata...they will only sponsor u if there is NO UK citizen that can do that job bruv.

Its just not easy, though inawezekana.
Basi njoo tuchume matunda Australia mkuu maana hakuna namna sasa 😛😛😛😛😛😛😛
 
Bob acha tu....kuna wanigeria kabila la Igbo (Yani tuseme hawa majamaa ni kama Wachagga wa nigeria)...,Walikua wanangu sanaa UK kuna mzee mmoja (Kenyan) akanionya sanaa mwanangu kaa mbali na hawa nigerians sisemi usiongee nao ila ishi nao kwa akili.

Ni washenzi sanaaa......yet very good people if huna tatzo nao. Ndio nilipojua issue hzo za ndoa za makaratasi na magumashi yao mengine kama 5000 hivi. Ni balaa...mi nilikua muoga muoga sanaa so ni walikua watu wangu Batani/Club, Skul na job tu.

Ila ile mijamaa ni mi fighter sanaa.....ukikaa nao lazima utakua mtoto wa mjini tu (usipotoka a bit wiser from them haki ya nani mi fala). Again igbo's are very good people if hauna shida nao. Madem waki igbo ni veeeery street smart.
 
Na vipi wa Igbo wanafanikiwa ku make money lakini?
 
Kuingia US kupitia Canada sio rahisi visa inabidi urudi bongo kuiomba.
 
Na vipi wa Igbo wanafanikiwa ku make money lakini?
Si ndio hao mdau anakwambia wana njia zao za kupata mi permit ya kuishi mbele bila kuvunja sheria...wale long time businessmen wana ma biashara ya maduka ya vyakula/nafaka kule Afro-Carribean foods....wana export stuff wengine wana import vyakula, viatu, african outfits kuna baadhi wako njema sanaaa from humble beginnings.

Wengine ni ma nurse, computer whiz. Ki ufupi ni wahangaikaji sanaa. They will only share a few tips to u if they like u nd find u that loyal nd humble type.

Aliyesema uoga ndio umasikini wako hakukosea kabisa. (Dnt break the Law, Manipulate it)
 
Pamoja mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…