Jinsi ya kupata UK Visa

Wakuu,

Naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?

Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK.Mimi nipo Tanzania.

Tafadhali tuwasiliane kwa PM

Mkuu unataka visa ya kwenda uk kwa ajili gani? niambie ili nijue jinsi ya kukusaidia Tafadhali
 
Mkuu hebu nipe maujanja ya kupenya Norway na sweden mana ndo nchi ninazozitaman... Na je ni lazima ujue lugha yao ndo uweze pata kazi?

Mkuu kuna njia ya kufika sweden kwa kwa ajili ya kujifun
Mkuu nipe njia hata za kwenda australia ua canada

Mkuu kuna njia moja ambayo unahitaji $7000 kufika kanada, hii unaweza kusafiri Ghana
Kutafuta maisha mkuu.

Mkuu hiyo ina gharama inabidi utengenezewa work permit, pamoja na visa inaweza kufika $4500 payment after visa
 
Inakua visa ya muda gani?
 
UmezungumZa kweli. Kuna wengine wanajilipua kwa staili za kudai wao ni mashoga ingawa sio mashoga. Lengo ni kupata hifadhi ya kuishi kwani kwenye nchi zao wananyanyaswa. Na mtu unakuta anafanikiwa ila hawezi kukwambia.
Daaah nimkupata sana ila mm nataka safari ya kuenda ulaya vip kuhusu visa gharama za safari kama dolar ngp?[
 
Kwanini ulirudi mkuu? Nipe mtonyo nataka nikacheze kandanda bongo longolongo nyinyi
 
Kwanini ulirudi mkuu? Nipe mtonyo nataka nikacheze kandanda bongo longolongo nyinyi
Nimerudi cz bongo though ni kugumu at the start ila fursa ni nyingi ukiwa na capital na pia due to other private family interests i can't tell here.

We pitia hii thread kutokea post ya kwanza mpaka hapa, kuna mengi ya kujifunza.
 
Nimeona yote mkuu ila ni vp nitafika umasikini tu km ningapata mdhamini wa kufanya trial kule hata nchi za scandinavia tu kuanzia si mbaya
 
Kwakweli nimecheka sana hii ya watanzania kuchunga Ng'ombe Estonia ! JF kweli burudani
 
Ukikaa vijiweni ndivyo unavyowadanganya wenzako hivi? Nenda ubalozi wa Uingereza consular section uone kama Watanzania hawaombi na kupewa viza.

Mjinga sana wewe na unaishi dunia ya kusadikika.
Matola wewe nakuamini sana kwa busara,kwa nini leo umebadilika na kumtukana jamaa ?sioni kosa lake sababu alichokisema ni kweli kabisa,kupata visa ya UK ni mpaka ukamilishe matakwa yao ambayo kwa sisi MAKAPUKU ni kitu kisichowezekana.
 
Matola wewe nakuamini sana kwa busara,kwa nini leo umebadilika na kumtukana jamaa ?sioni kosa lake sababu alichokisema ni kweli kabisa,kupata visa ya UK ni mpaka ukamilishe matakwa yao ambayo kwa sisi MAKAPUKU ni kitu kisichowezekana.
Kuna connection nyingi tu za kufika ulaya, wapo wakata viuno wa Diamond ni makapuku tu na wanapata hizo viza na wanaenda ulaya.

Don't let your self down buddy.
 
Samahanini Jamani kwenye kuomba visa ni lugha gani ambayo inatumika kuombea kati ya kiswahili au english
 

Utakua ulienda Ulaya kijijini..lazima ubweke tu
 
Nenda viva tower iwapo upo Dar kuna agent wao atakupa visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…