yahoocom
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 331
- 378
Tatzo mnawaza upuuzi tu kama anataka kumhack mtu ambaye anahisi anataka kumzunguka kwenye biashara? Si ataepuka mapema! That is the POWER OF INFORMATIONMambo mengine kujipa pressure tu ndio maana watanzania wengi hatuwazi mambo ya maendeleo sasa mkuu ukishajua alafu iweje bora ungeuliza maswala mengine.
Nimaoni yangu tu