Jinsi ya kupata tiketi Azam Marine

Jinsi ya kupata tiketi Azam Marine

Sorry wakuu kati ya foreigners na locals nauli sawa kwenda Zanzibar kwa njia ya boti
Hana. Foreighers wanalipa kwa usd na nauli yao iko juu zaidi. Sema sikumbuki viwango.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Fanya online booking kupitia link hii hapa chini mkuu... Sytem yao unafanya booking; Watakutumia tiketi yako kwenye e mail, wewe utaiprint na kunote reference number. Malipo sasa ni lazima ufanye siku ya safari (mapema wanashauri at least 3 hours kabla ya safari); Unalipia pale pale ferry kwenye ofisi zao za kukata tiketi, wakati unalipia unawaonyesha hiyo booking yako.
Nyenyere

Hiyo system yao itakuwa sio realistic; mtu ambaye humfahamu kuwa ni genuine customer hawezi kubook bila kulipia hadi masaa matatu kabla ya safari;
KIBIASHARA; anatakiwa mtu akibook apewe na option ya kulipia ticketi yake kwa kutumia mitandao ya simu au Bank...walau siku tatu kabla ya safari. Tofauti na hapo hii huduma ya oline BOOKING wawaachie mashirika meingine kama ndege nk
 
Back
Top Bottom