Fanya online booking kupitia link hii hapa chini mkuu... Sytem yao unafanya booking; Watakutumia tiketi yako kwenye e mail, wewe utaiprint na kunote reference number. Malipo sasa ni lazima ufanye siku ya safari (mapema wanashauri at least 3 hours kabla ya safari); Unalipia pale pale ferry kwenye ofisi zao za kukata tiketi, wakati unalipia unawaonyesha hiyo booking yako.Wakuu naomba kuuliza namna ya kufanya booking online kwa boti za Azam kwenda Zbar. Nimejaribu kuwapigia namba zilizopo online hazipatikani na inayopatikana haipokelewi. Naomba kujua kama wana namna ya kulipia online ama kwenye simu.
Shukrani
Nimefanya hivyo mkuu ingawa haijaniletea email. Asante sana kwa msaada wakoFanya online booking kupitia link hii hapa chini mkuu... Sytem yao unafanya booking; Watakutumia tiketi yako kwenye e mail, wewe utaiprint na kunote reference number. Malipo sasa ni lazima ufanye siku ya safari (mapema wanashauri at least 3 hours kabla ya safari); Unalipia pale pale ferry kwenye ofisi zao za kukata tiketi, wakati unalipia unawaonyesha hiyo booking yako.
Nyenyere
Poa mkuu... Cha muhimu note ile reference number inayoonekana kwenye booking, ukienda ofisini kwao siku ya safari kulipia unawatajia hiyo ili ku confirm booking yakoNimefanya hivyo mkuu ingawa haijaniletea email. Asante sana kwa msaada wako
Mkuu, asante kwa mwongozo wako, hata hivyo nimefika alfajiri hapa ofisini kwao sikupata nafasi mpaka saa sita mchana. Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimeona raia wa kigeni wanalalamika kuwa Azam Marine huwa hawaheshimu online bookings. Wanaziuza tiketi.Poa mkuu... Cha muhimu note ile reference number inayoonekana kwenye booking, ukienda ofisini kwao siku ya safari kulipia unawatajia hiyo ili ku confirm booking yako
Nyenyere
Hili ni tatizo sana mtu mmoja akiwa anatoa huduma peke yake huwa anajisahau sana kuboresha.Mkuu, asante kwa mwongozo wako, hata hivyo nimefika alfajiri hapa ofisini kwao sikupata nafasi mpaka saa sita mchana. Nimejaribu kuangalia mtandaoni nimeona raia wa kigeni wanalalamika kuwa Azam Marine huwa hawaheshimu online bookings. Wanaziuza tiketi.
Ni kweli mkuu, hawa jamaa kumiliki soko kumelazimu abiria tuwe wanyenyekevu kama tunaomba msaada. Huwa sielewi ni kwa vipi wamejisahau kiasi hiki.Hili ni tatizo sana mtu mmoja akiwa anatoa huduma peke yake huwa anajisahau sana kuboresha.
Tuombe kheri siku za karibuni atapata mpinzani ambaye ni Sea Star anayeleta boti za abiria kama hizo.
Hawa wamekuwa peke yao kipindi kirefu, mpinzani wao akija watajirudi kuwa na huduma nzuri kwa wateja.Ni kweli mkuu, hawa jamaa kumiliki soko kumelazimu abiria tuwe wanyenyekevu kama tunaomba msaada. Huwa sielewi ni kwa vipi wamejisahau kiasi hiki.
Mkuu ulisema kweli, Zakaria tayari kaleta boti ya mauaji. Dsm Zbar saa moja, inaipiku hata Kilimanjaro VII ambayo ni mpya ya Azam inayotumia saa moja na nusu.Ngoja bwana Zakaria analeta boti zake hapo mambo yatakuwa mazuri watajirekebisha tu ukija ushindani
Mkuu ulisema kweli, Zakaria tayari kaleta boti ya mauaji. Dsm Zbar saa moja, inaipiku hata Kilimanjaro VII ambayo ni mpya ya Azam inayotumia saa moja na nusu.
Yaani ni safi kweli kweli kuanzia mandhari hata speed
Full WIFI kwa madaraja yote, so cool.
View attachment 1342026View attachment 1342027
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
View attachment 1342030
Mkuu hii imeisha fika Dar es Salaam.Mkuu ulisema kweli, Zakaria tayari kaleta boti ya mauaji. Dsm Zbar saa moja, inaipiku hata Kilimanjaro VII ambayo ni mpya ya Azam inayotumia saa moja na nusu.
Yaani ni safi kweli kweli kuanzia mandhari hata speed
Full WIFI kwa madaraja yote, so cool.
View attachment 1342026View attachment 1342027
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
View attachment 1342030
Azam Marine walijisahau Sana, Zanlink sasa atawakimbiza maana yeye bei kashusha na meli kaleta za kisasa.Na bao mkuu ataleta vitu vya maana. Utaona hata nauli zitashuka tu mkuu Azam alikuwa anaona hamna zaidi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Az
Azam Marine walijisahau Sana, Zanlink sasa atawakimbiza maana yeye bei kashusha na meli kaleta za kisasa.
Kipindi cha nyuma Sea Star alikuwa ndio anakimbiza Azam alikuwa anafuata ila fitna zilitembea mpaka Sea Star akapotea.
Sorry wakuu kati ya foreigners na locals nauli sawa kwenda Zanzibar kwa njia ya botiHiyo nimesafiri nayo jana ijumaa mkuu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk