Fungua google.comWenye ujuzi wa namna ya kuzipata remote jobs. Zile kazi za kufanya online na taasisi zilizo nje au hapa Tanzania lakini kila kitu mnafanyia online. Tupeni elimu namna ya kuziomba na kuzipata.
AsanteFungua google.com
Kisha kwenye search box andika: site:jamiiforums.com "upwork" "freelancer"
=
View attachment 2550513
=
Kuna thread nyingi zinazungumzia hili swala lako.