Mamlaka ya maji wanakupa bill ya karatasi ambayo ina address yako(physical address)
Au nenda kwa mwanasheria atakusaidia.
Ndani kabisa ya moyo wangu naamini lengo la Uzi wako ni kwadaka wajinga waingie kwenye mitego wa hela ya BURE kwa sauti ya Jiwe!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuhusu mimi Mimi ni software Engineer ambae pia huw nina participate kwenye global hackathons Mwezi Jauary nimeshiriki kwenye hackathon amabapo team yangu imekuwa miongoni mwa team 3 zilizo chaguliwa kweye fainalist kuhusu safari Hii itakuwa event ya...