Kama upo serious basi inawezekana. Tafuta area of expertism yako kisha tumia knowledge hiyo kuwafikia watu kwa kuwadrrive kutoka social net zingine kama google plus na facebok kisha tengeneza grup anza kutoa free courses .
Baada ya muda anza kuadvance weka premium contents zenye ubora wa hali ya juu kisha tambulisha ofa zilizopo kwenye package zako .
Weka ada kwenye package mpya na uelezee advantage yake over free content
Kufikia hapo utakuwa umeanza kupata pesa ya maji na mihogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.