Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Habari zenu wakuu..
Naomba mwenye ujuzi au maufundi ya jinsi ya kudownload video kuleee youtube anipe
mana google nasikia waameblock ile njia ya kuandika(ssyoutube.com) na nimejaribu jna nimeshindwa msaada wenu tafadhari

Ile njia sio ya Google ndomana hawana sababu zakuiblock.

» Why we have applied restrictions on YouTube.com videos » YouTube.com changed the link format, which is why we can no longer provide direct links to files.

Now we provide YouTube.com files using our own servers. Since the load has increased manifold, we had to place some restrictions.
Without these restrictions our service simply would stop working. We apologize and thank you for your understanding!
You can download files from YouTube.com without restrictions by installing SaveFrom.net Helper.
 
Download Snatube App ni nzuri kwa video You tube na nyinginezo
 
kaama wataka video za Kutoka Youtube we download Youtube Downloader na uifanyie Installation, kazi ni kwako.
 
Trick ya namna ya ku download playlist nzima youtube " http://hosannahighertech.co.tz/blog/mweledi/9-Downloading-Youtube-Videos---The-Simplest-Way"...
 
Nawasalimu nyote, nahitaji msaada kwa anaejua app nzuri ya kupakua video toka YouTube kwenda simu za android.
 
download video downloadhelper kwenye mozilla addons inasupport os zote
 
Tubemate ni nzuri .. But haipatikani play store find upande wengine kama ..opera mini uc browser na nk udowload
 
Back
Top Bottom