Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Hakuna haja ya downloader. Play win no ukianza usimamishe afu baada ya http weka as ndogo piga enter utakuletea options za kudownload.
 
Mkuu fanya hivi.....ukishaplay video unaenda pale kwenye addres...mfano....www.youtubemusicanold.com.....sasa wewe pale baada ya www. Ongeza double ss....like this.....www.ssyoutubemusicanold.com then seach hapo utaweza kufownload
Hii ndio natumia mimi haijawai kuniletea kwikwi hata siku moja.
 
Mzee hii inahusisha copy n paste ya link naijua na siitak
Basi tumia Internet Download Manager (IDM) maana yenyewe uki-play video ndo inaleta sehemu ya download au tumia UC Browser na yenyewe ni ya kugusa tu hakuna copy n paste ya link.
 
Umetumia niliokupa comment #4 naona hujui unataka nini watu kibao wamelupa nondo kali una shangaa shangaa
 
Hii ipo poa sana thanx u
 
Zama Google andika VIDEODER for PC idownload ina MB 24 tuu halafu ifungue ipo kama Youtube unadownload mpaka audio pia ukitaka unaweza ukaconvert video kuwa audio sio zilizopo youtube tuu, hata ulizonazo kwenye PC yako
 
Zama Google andika VIDEODER for PC idownload ina MB 24 tuu halafu ifungue ipo kama Youtube unadownload mpaka audio pia ukitaka unaweza ukaconvert video kuwa audio sio zilizopo youtube tuu, hata ulizonazo kwenye PC yako
Hii chenga nayo siku hizi unaweza tu amka ukakuta wameondoa uwezo wa kudownload YouTube videos.
 
Hii ni ile njia ya kuandika ss kwenye link... simple na nzuri inakupeleka direct server from net... hii video niliitengeneza zamani mno

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…