Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Kuna kitu ulisahau ndio maana OGYOUTUBE haidownload. Unachotakiwa kufanya ni Kudownload software inaitwa OGDOWNLOADER, ukifanya hivyo OGYOUTUBE itaanza Kudownload vizuri tu automatically tena unachagua na quality unayotaka. Jaribu uone mkuu.
 
Weka katika computer yako Web Browser ya Torch badala ya Mozilla....Hiyo ya Torch ikiweka then kuna sehemu hapo juu kulia mwa computer yako ya kudownload chochote kile unachotaka wala haitijaki drivers nyingine ya ku install ili u download kitu.Tafuta vijana wa IT wakuwekee hiyo Web Browser ya Torch.
 
Mimi sijui niligusaga wapi, ila nikifungua Youtube video yoyote hua inaniletea ki-downloader apohapo pembeni (sio IDM)
 
Huna haja ya kudownload program yoyote.
Fungua search engine yoyote, kisha ktk search bar andika "www.savefrom.net" itakufungulia hiyo program page ikiwa na search bar katikati yake, na option ya kudownload upande wa kulia kwake (iache kwa muda)
Fungua page ya YouTube, tafuta muvi unayoitaka, ukiipata inakuwa imefunguka na link yake ktk search bar.
Ikopi hiyo link kaipesti ktk search bar iliyopo katikati ya page ya savefrom.net

Ukishaipest, itaanza kuisearch hiyo muvi kutokana na link uloipest, kisha itaifungua icon ya muvi,
Unachotakiwa kufanya ni ku click download upande wake wa kulia na kuspecify wapi uihifadhi ktk computer yako.
Muvi zinazokuwa ktk Mp4 utazikuta na MB chache kama 400 au hata 360 ,na zilizopo ktk MP3 zitakuwa na MB 600 au zaidi.
Cha msingi ihakikishe muvi ktk YouTube kama ni full movie kabla hujaicopy link yake

Thank me later
 
Kama upo YouTube unaangalia video na ukawa umeipenda, unataka kuipakuwa kwa komputa yako. Wakati video inacheza, pale kwenye address bar, neno youtube lianze na "ss".
Yaani badala ya www.youtube.com/........ isomeke "www.ssyoutube........"

Kisha itakupeleka kwenye page ya kupakuwa, kisha utachagua ubora uutakao.
 
Kuna kitu ulisahau ndio maana OGYOUTUBE haidownload. Unachotakiwa kufanya ni Kudownload software inaitwa OGDOWNLOADER, ukifanya hivyo OGYOUTUBE itaanza Kudownload vizuri tu automatically tena unachagua na quality unayotaka. Jaribu uone mkuu.
Mkuu hilo nimefanya,baada ya kumaliza kudownload og, outomatically niielekezwa ni load hiyo ogdownloader,vyote ninavyo ,tatizo inagoma halafu naambiwa mambo ya parameter
 
Back
Top Bottom