Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

unhetuma screenshot ya simu yako humu,isijekuwa ni zile za storage full.

videoder siki hizi inataka uwe na acc ya google ambayo ndio unatumia youtube.

ikigoma tumia vidmate kutoka google.
 
Kuandika kitabu kimoja kinaweza kuchukua hata miaka 3 kulingana na maudhui.
Umejipinda, halafu baada ya siku unakiona watu wanasoma bure. Ndiyo maana kuna vitabu vingine huvipati kwenye softcopy.
Yaani unaomba software ya kuiba kitabu au mali ya mtu amazon?

Hivi mkuu ushawahi kuandika hata page 3 ukaona jinsi ilivyo mtiti kuandika kitabu?
 
tafuta address ya unachotaka kudownolad
kisha edit kwa kuongeza ss kabla ya neno youtube
mfano http.m.ssyoutube
 
Mkuu jaribu VIDMATE
Download kwa kugugo 'Vidmate apk' au kwa kugugo 'vidmate' na kuidownload toka website rasmi ha vidmate.

Ikimaliza kuidownload Install, katika mchakato huu Watakuletea Security notification kukueleza kuwa una-Install toka chanzo wasichokitambua (unkown sources) ipuuze kwa kupiga tick kibox kinachoeleza 'Install from Unkown Sources'

Kisha mambo yatakwenda vizuri.

Kama hukioni hicho kibox waweza ki-search kwenye settings andika 'unkown sources' kitakuja .

NB: Inategemea na simu yako, lakini android zote zina hii Option

Kila la kheri.
 
Wana jf naombeni mnipe utaalam wa ku download youtube video katika format ya MP4. Zamani video za utube tulikuwa tunazidownload katika Mp4 mojakwamoja, but siku za hivi karibuni format inayokuja ni mp4 lakin haichezi katika player za kawaida kama vlc na kadharika. Zinacheza kwenye player yao ya PLAYit. Msaada wa hili plss...
 
Tafuta pesa wewe acha kuunga-unga
 
Back
Top Bottom