Jinsi ya kuotesha maembe,mapapai ya kisasa

Jinsi ya kuotesha maembe,mapapai ya kisasa

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Heshima kwenu wanandugu
Nina shamba nataka nioteshe yale maembe na mapapai ya kisasa yanayozaa yakiwa chini kabisa ila naomba kufahamu
1~Ukubwa wa mashimo
2 aina ya mbolea ya kuoteshea
3Huzaa nara ngapi kwa mwaka

4~Umbali baina ya mche na mche
 
Kama hivyo
 
Attachments

  • 1442676086586.jpg
    1442676086586.jpg
    82.2 KB · Views: 487
Ndugu nina picha ila ninaamini yapo na yanatokea kenya
 
"Super H, post: 14043551, member: 104224"]Heshima kwenu wanandugu
Nina shamba nataka nioteshe yale maembe na mapapai ya kisasa yanayozaa yakiwa chini kabisa ila naomba kufahamu
1~Ukubwa wa mashimo
2 aina ya mbolea ya kuoteshea
3Huzaa nara ngapi kwa mwaka

4~Umbali baina ya mche na mche[/QUOTE]
Umepata mkuu??
 
Back
Top Bottom