Jinsi ya kuongeza download speed ya modem ya tigo

godfrey_avya

Senior Member
Feb 25, 2014
131
195
wakuu nimetafuta thread nying ambazo naweza nika tatua tatizo langu lakini nimekosa
nime flash modem ya tigo ambayo ni e153-u1 lakini iko very slow kwa mitandao mingine,
na tigo pia naombeni msaada wenu
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,789
2,000
wakuu nimetafuta thread nying ambazo naweza nika tatua tatizo langu lakini nimekosa
nime flash modem ya tigo ambayo ni e153-u1 lakini iko very slow kwa mitandao mingine,
na tigo pia naombeni msaada wenu

Angalia vyema kwenye tools/ settings upande wa network huenda ikawa imewekwa EDGE ONLY kama default. Inatakiwa ubadili hiyo setting.
Hapo kila laini utakayotumia speed hakuna.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom