Jinsi ya kuongea na majini ili wakusaidie

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
465
Reaction score
943
Habari zenu wana JF,

Nimekua nikiulizwa mswali mengi kutoka kwa wadau mbalimbali jinsi ya kuwasiliana na majini ili waweze kukupatia msaada.

Kiukweli majini wanaweza kuwasiliana na wewe kwa njia mbali mbali ila njia ambayo huitumia sana ni kwenye ndoto na ndio maana unapoota ndoto ni lazima kuzipatia maana na yawezekana ikawa kuna majini wanawasiliana na wewe na wanakupa ishara.

Pia zipo njia ambazo unaweza kuongea na majini ana kwa ana kama unavyoongea na binaadamu wenzio na hii ndio point ambayo nitawasaidia muweze kuongea nao.

Kabla yakuongea na jini inakupasa kuzingatia ni msaada gani unataka mana kila jini ana uwezo wake na sio kwamba kila jini anauwezo wa kutatua kila shida.

Leo nitawaeleza namna ya kumuita jini atakaeweza kukusaidia katika masuala ya mapenzi , hawa ni majini ambao siku yao ni Jmapili na muda wao mzuri ni saa moja asubuhi.

Jini huyu huitwa kwanza kisha atakuonesha ishara kua tayari amekuja na ataongea na wewe.

Kila jumapili saa moja asubuhi, chukua udi wa ambar na sandal ubani na aluudi unayoipenda kisha ujipake na na ufukize udi na uwe katika sehemu ya faragha na uuite majina haya "al madh hab" unaita" ewe al madh hab" ita mara 7 kisha sema nakuita nakuomba uongeena mimi haitafika zaidi ya majuma matatu akawa hajafika

Kabla ya kujitokeza jini atakuonesha kwa ishara mfano moshi, harufu nzuri, utasikia mtu anaimba , njiwa mweupe, jogoo kuwika bila kupumzika na mengine yanayofanna na wewe.

Unaweza kusikia sauti tu unaongea nae au atajitokeza kwa umbo lolote ila hawezi kuja kwa umbo lake mana ni la kutisha.

Baada ya hapo utamueleza kua nampenda fulani bin fulani nisaidoe au naomba kupata mpenzi niwe na mvuto na mengineyo yeye atakwambia fanya hv na hv kisha mtaelewana.

Tahadhari majiji ni viumbe ambao wanahasira sanna na hawapendi mzaha.
 
Kuna vitu vingine sio vya kujaribu kabisa. Inasadikika majini wana hulka kama za kibinadamu. Kuna wahuni na waungwana.
Sasa unajitusua na maudi yako linakuja jini basha, linakupiga miti ndani humo halafu unashindwa hata kuomba msaada.

Ya majini tuwaachie majini. Kulikuwa na sababu Mungu alitutenganisha.
 
Habari zenu wana JF,

Nimekua nikiulizwa mswali mengi kutoka kwa wadau mbalimbali jinsi ya kuwasiliana na majini ili waweze kukupatia msaada.

Kiukweli majini wanaweza kuwasiliana na wewe kwa njia mbali mbali ila njia ambayo huitumia sana ni kwenye ndoto na ndio maana unapoota ndoto ni lazima kuzipatia maana na yawezekana ikawa kuna majini wanawasiliana na wewe na wanakupa ishara.

Pia zipo njia ambazo unaweza kuongea na majini ana kwa ana kama unavyoongea na binaadamu wenzio na hii ndio point ambayo nitawasaidia muweze kuongea nao.

Kabla yakuongea na jini inakupasa kuzingatia ni msaada gani unataka mana kila jini ana uwezo wake na sio kwamba kila jini anauwezo wa kutatua kila shida.

Leo nitawaeleza namna ya kumuita jini atakaeweza kukusaidia katika masuala ya mapenzi , hawa ni majini ambao siku yao ni Jmapili na muda wao mzuri ni saa moja asubuhi.

Jini huyu huitwa kwanza kisha atakuonesha ishara kua tayari amekuja na ataongea na wewe.

Kila jumapili saa moja asubuhi, chukua udi wa ambar na sandal ubani na aluudi unayoipenda kisha ujipake na na ufukize udi na uwe katika sehemu ya faragha na uuite majina haya "al madh hab" unaita" ewe al madh hab" ita mara 7 kisha sema nakuita nakuomba uongeena mimi haitafika zaidi ya majuma matatu akawa hajafika

Kabla ya kujitokeza jini atakuonesha kwa ishara mfano moshi, harufu nzuri, utasikia mtu anaimba , njiwa mweupe, jogoo kuwika bila kupumzika na mengine yanayofanna na wewe.

Unaweza kusikia sauti tu unaongea nae au atajitokeza kwa umbo lolote ila hawezi kuja kwa umbo lake mana ni la kutisha.

Baada ya hapo utamueleza kua nampenda fulani bin fulani nisaidoe au naomba kupata mpenzi niwe na mvuto na mengineyo yeye atakwambia fanya hv na hv kisha mtaelewana.

Tahadhari majiji ni viumbe ambao wanahasira sanna na hawapendi mzaha.
Nasaha zangu kwa watu, kuingia mkataba na mashetani kunawalazimu kufanya matendo ya shirki na madhambi makubwa makubwa. Hivyo nawanasihi watu mjiepushe na mambo haya. Shirki ni dhulma kubwa kabisa. Na ni machukizo mno kwa Allah.

Pili, baadhi ya watu mfano wa mtoa mada wanaokuja na mada hizi huja na sura na dhahiri za Uislam. Nawaambia Uislam uko mbali na haya na mambo haya yako mbali na Uislam.

Dhambi kubwa kuliko zote katika Uislam ni Shirki. Na hauwezi "kufuga" majini au kuyatumikisha ila baada ya kuingia mkataba nao wa kufanya shirki na kukufuru kisha ndio wakutumikie. Hapo utakuwa mshirikina na pia mtumwa wa majini.

Allah atuweke mbali na shirki.

Nimefikisha.
 
Nasaha zangu kwa watu, kuingia mkataba na mashetani kunawalazimu kufanya matendo ya shirki na madhambi makubwa makubwa. Hivyo nawanasihi watu mjiepushe na mambo haya. Shirki ni dhulma kubwa kabisa. Na ni machukizo mno kwa Allah.

Pili, baadhi ya watu mfano wa mtoa mada wanaokuja na mada hizi huja na sura na dhahiri za Uislam. Nawaambia Uislam uko mbali na haya na mambo haya yako mbali na Uislam.

Dhambi kubwa kuliko zote katika Uislam ni Shirki. Na hauwezi "kufuga" majini au kuyatumikisha ila baada ya kuingia mkataba nao wa kufanya shirki na kukufuru. Utakuwa mshirikina na pia mtumwa wa majini.

Nimefikisha.
Kwani mleta mada ni muislam? Wewe umejuaje, tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom