Jinsi ya kuondoa ujumbe unaoonesha aina ya simu

Fungua JF App, gusa pale kwenye vimistari vitatu juu kushoto pembeni ya maandishi (JamiiForums) itakuletea profile yako, utagusa kwenye settings itakuletea options, utagusa kwenye neno signature itakuletea options, kuna sehemu imeandikwa show signature utagusa kwenye kale kaduara kulia ili kuizima. Hapo utakuwa umemaliza.
Thanks mkuu umetisha
 
Tuelekeze

Mbona mm kwangu signature is disabled by default??
Screenshot_20230804-220455.jpg
 
Hata kwangu pia inaonekana ni kwa baadhi ya simu tu.
Imeisha hiyo
 
Habari,

Naomba kama kuna mtu anajua kuondoa ile caption ya simu anayotumia mtu pindi anapo comment au kuandika chochote inayojitokeza pale chini.
Pia unaweza kuwa unaingilia JF kwa browser mfano chrome afu unaiadd kwene homescreen caption haitotokea ..
 
Back
Top Bottom