Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,787
- 8,123
wa iphone ndio watu pekee wanaoongoza kupiga picha kwenye vyoo vya malls na hoteli mbele ya kioo ili simu ionekeane.Uliona wapi wanaotumia Iphone wanaomba kutoa yaani isionekane? nakupa buku ukinionesha😀
Sasa mtu ambae yupo tayari kuonyesha anapokatia gogo hawezi kabisa kuficha nembo ya simu anayotumia JF😀