Jinsi ya kuondoa lamination kwenye document

Kama cheti siyo chako nenda Kariakoo watakutengenezea chako na picha yako wataiweka, vinginevyo utamharibia mwenzako cheti chake.
Ni cha kwangu, sema walikilaminate vibaya!! Nataka itolewe nipeleke sehem watakayolaminate vizuri, kwa sababu lamination iliyopo inabanduka kwa ndani! Ni CSEE
 
Piga pasi upande wa karatasi.
Piga pasi upande wa karatasi ? (Sikuelewi)

Aweke Nguo ili plastic isiungue, heat na plastic plastic inaungua ila nguo itazuia plastic kuungoa na itabaki joto (kama ana air dryer anaweza kutumia hio)

Heat kwenye ile lamination itafanya ile gundi between plastic and paper kuishiwa nguvu hivyo pole pole na kwa umakini anaweza kufanya hivyo hio ndio njia ya kufanya..., ila ndio hivyo afanye kwa uangalifu
 
nenda kwenye machine nzuri alafu wafanye lamination bila kutoa ya mwanzo, tofauti na hapo kuna maandishi yataondoka.
 
Back
Top Bottom