KAZ kama KAZ
Member
- Sep 7, 2014
- 43
- 10
Jamani naombeni msaada Wa kuona post zangu ninazopost,baada ya muda Fulani hata hii nayo sitaweza kuiona tena
unatumia nini kuingia humu Jf simu au LaptopJamani naombeni msaada Wa kuona post zangu ninazopost,baada ya muda Fulani hata hii nayo sitaweza kuiona tena
unatumia nini kuingia humu Jf simu au Laptop
unatumia cm gani mkuuSimu mkuu
unatumia cm gani mkuu
hiyo sijui mkuu ungekuwa unatumia Laptop ningekusaidia lakini cm sijui ngoja waje wataalamu watakusaidiaHuawei y530
Jf kuna raha sana nimecheka sana mkuu.Unaiona kwa macho mpwa
Unaiona kwa macho mpwa
hivi majibu Kama haya yanampa Mungu utukufu?
Usubiri mtu aki-like au aki-quote basi utapata notification then utaona post yako. Njia rahisi hii
Ha ha ha ha ha ha JF bhana hadi raha, mkuu kwa hiyo ikataka kutafuta thread yake ya mwaka 2006, asubiri quote au like? ha ha ha