Freewine
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 257
- 212
tatizo nimesha upload transcript front page nilidhani naweza upload Mara pili transcript. Sasa nafanyanje maana ni hiyo back page ya transcript ndio bado
tatizo nimesha upload transcript front page nilidhani naweza upload Mara pili transcript. Sasa nafanyanje maana ni hiyo back page ya transcript ndio bado
...kumbuuken kuwa hizi sio ajira mpya bali n replacement employment so tusikondeeeDaa ajira 4547 kwa graduates wa 2014,2015,2016,2017
Inafikirisha sana tuombe uzima.
Aluta continua victory ascerta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaziunganishe utume tena zitareplacetatizo nimesha upload transcript front page nilidhani naweza upload Mara pili transcript. Sasa nafanyanje maana ni hiyo back page ya transcript ndio bado
Mei mosiSamahanini jamani hivi inachukua muda gani mpaka kupangiwa kazi?
Habari za jioni wapendwa. Tangu tarehe 27/02/2019 nimekuwa ninajaribu kutuma maommbi ya nafasi za ualimu kutumia online teachers application system lakini imeshindikana. kujisajiri tu nimechukua siku nne. huku nilipo nimekodi computor ya mtu usiku niwe najaribu wakati labda system inakuwa si congested lakini imeshindikana. tangu jumatatu ninalala saa 10 alfajiri lakini zoezi ili limeshindikana. tangu juzi niko naapload vyeti lakini ata kimoja sijafanikiwa. tafadhali wajuzi wa hii technologia naomba mnisaidie nifanyeje? deadline ni kesho kutwa na kwa speed hii sitafanikiwa. iwapo unashindwa kutuma kwa njia ya online, je kuna njia nyingine inakubalika mfano kuandika kupitia posta au kutuma direct email yenye docs zote? Kuna suruhisho limetolewa kwa sisi tulioshindwa kutuma kwa njia ya online? msaada wenu kwani hapa nimeshindwa nifanyeje na ukizingatia niko bush ambapo network ni shida.
asante
Mfumo upo slow sana, lkn usichoke kila wakati upload hatimae utafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hiyo tabia ya kutuhumu watu bila ushahidi. Wengine waliofanikiwa kutuma maombi wamefanikiwa vipi? Kua msitaarabu usije kuwasababishia wenzako matatizo kwa mambo ya kijingaKuna watu wako hapo tamisemi- dodoma, wameziua option ya ku-upload file kwenye mfumo wa oteas ili wafanye wao kwa malipo makubwa.
Hii kitu ina siku ya 3 ukipandisha file hata iwe ni usiku wa manane halipandi, hata uwe na internet yenye kasi ya 4g bado utaambuliwa manyoya tu.
Ninyi watu kuweni wazelendo, kwa roho zenu hizo hamna tofauti na wahujumu uchumi kwa hujuma hizi mnazowafanyia Watanganyika wenzenu.
Acha hiyo tabia ya kutuhumu watu bila ushahidi. Wengine waliofanikiwa kutuma maombi wamefanikiwa vipi? Kua msitaarabu usije kuwasababishia wenzako matatizo kwa mambo ya kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakurupuka sana wewe.Jenga hoja na ujibu kwa hoja. Lugha za ajabu ajabu hazitakusaidia zaidi ya kukuharibia. Acheni hiyo mambo.
Ukiendelea kutoa lugha za ajabu ntaweka wazi # zenu mnazopokelea pesa.
Karibu..!!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Unakurupuka sana wewe.
Wanaofanikiwa ku upload wanatumia uchawi gani? Acha kukurupuka
Hizo namba kama unazo weka na huo ushahidi kuliko kuandika pumba humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jioni wapendwa. Tangu tarehe 27/02/2019 nimekuwa ninajaribu kutuma maommbi ya nafasi za ualimu kutumia online teachers application system lakini imeshindikana. kujisajiri tu nimechukua siku nne. huku nilipo nimekodi computor ya mtu usiku niwe najaribu wakati labda system inakuwa si congested lakini imeshindikana. tangu jumatatu ninalala saa 10 alfajiri lakini zoezi ili limeshindikana. tangu juzi niko naapload vyeti lakini ata kimoja sijafanikiwa. tafadhali wajuzi wa hii technologia naomba mnisaidie nifanyeje? deadline ni kesho kutwa na kwa speed hii sitafanikiwa. iwapo unashindwa kutuma kwa njia ya online, je kuna njia nyingine inakubalika mfano kuandika kupitia posta au kutuma direct email yenye docs zote? Kuna suruhisho limetolewa kwa sisi tulioshindwa kutuma kwa njia ya online? msaada wenu kwani hapa nimeshindwa nifanyeje na ukizingatia niko bush ambapo network ni shida.
asante
Mi nauliza serious kunaishu nataka nifanye so nataka kujua nina muda gani
Tumia simu kwa UC browser. Hii fasta sana . Ukiupload cheti ukaona bado unaenda kuangalia report km kipo.Habari za jioni wapendwa. Tangu tarehe 27/02/2019 nimekuwa ninajaribu kutuma maommbi ya nafasi za ualimu kutumia online teachers application system lakini imeshindikana. kujisajiri tu nimechukua siku nne. huku nilipo nimekodi computor ya mtu usiku niwe najaribu wakati labda system inakuwa si congested lakini imeshindikana. tangu jumatatu ninalala saa 10 alfajiri lakini zoezi ili limeshindikana. tangu juzi niko naapload vyeti lakini ata kimoja sijafanikiwa. tafadhali wajuzi wa hii technologia naomba mnisaidie nifanyeje? deadline ni kesho kutwa na kwa speed hii sitafanikiwa. iwapo unashindwa kutuma kwa njia ya online, je kuna njia nyingine inakubalika mfano kuandika kupitia posta au kutuma direct email yenye docs zote? Kuna suruhisho limetolewa kwa sisi tulioshindwa kutuma kwa njia ya online? msaada wenu kwani hapa nimeshindwa nifanyeje na ukizingatia niko bush ambapo network ni shida.
asante