Jinsi ya kuoka mkate

Jul 31, 2016
26
45
Jamani naomba munielekeze vitu ambavyo vinahitajika katika uokaji wa mkate na jinsi ya kuviandaa hadi kufikia hatua ya kuoka.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,030
2,000
Duuh tangu jumapili hadi leo jumamosi hajayokea mtu wa kutoa darasa ...... pole mwaya mtoa mada. Labda ungehamia kwenye gugo shida kule utapata maelezo kwa kiinglish. Sijui kama wanatoa elimu kwa kiswahili.... au ......

gugo mmama mmoja wa kikenya anafundisha kupika mapishi mengi tuu pamoja na majirani yake unaweza kupata na hiyo ya mkate.
Gugo "TUPIKE PAMOJA"
 

Nickel Msika

Member
Sep 9, 2016
7
45
Uokaji mkate kwa mkaa au oven
Mahitaji__unga wa ngano, bicarbonate, amira, sukari, mafuta ya kupikia, maziwa fresh, maji vuguvugu, HATUA 01 (Changany unga, bicarbonate, sukari, amira,maziwa na maji vuguvugu hadi mchanganyiko uwe kikando) HATUA 02 (Chemsha mafut ili kuondoa harufu iliyopo kweny mafut,, mimina mafuta kdog kweny kikando ili kuchangany mafut na kikando,,, then mimina mafut kweny sufuria kavu litalotumika kweny kuoka and then amishia kikando kweny ilo sufuria baada ya hapo kiweke kikando kweny jua au karib na mot ali kikando kihumuke) HATUA 03 (Kikando kikiwa tayar wek kweny oven ili kuoka kwa dakik 30-35,,,au andaa moto wa mkaa then weka moto mwingi kweny mfuniko wa kufunikia sufuria kweny uokaj na wek mot kidog kweny jiko and then anza kuoka dakik 45-50) HATUA 04 (Angalia kam mkate tayar then ipua na geuza sufuria juu chin kwa kulifunika kweny sinia ili mkate uweze kutoka kweny sufuria)
 

mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
15,122
2,000
Samahani vipi na kwa njia ya jiko la mkaa
utahitaji kuwasha moto hadi uwake sawasawa, chukua sufuria la mkate uliokwisha umuka funika kwa mfuniko kisha tandaza majivu juu yake kabla ya kuweka makaa ya moto juu(hii itasaidia mkate usiungue badala yake uive kwa njia ya joto kali), weka sufuria juu ya jiko uliloopoa makaa ya moto kisha subiri kwa dk 30 hadi 45, funua kuona kama mkate wako umeiva, shusha sufuria lako kisha lipindue ktk sinia ili mkate wako upate kutoka, acha upoe tyr kwa kuula.
Hatua za kuandaa mkando ni zilezile kama zilivyofafanuliwa na mchangiaji hapo juu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom