JINSI YA KUNUNUA VIEWS YOUTUBE

JINSI YA KUNUNUA VIEWS YOUTUBE

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
ONYO: USITUMIE NJIA HII KWA ADSENSE

Mwagona....🙂🙂, Salamu ya kunyakyusa hiyo karibuni Mbeya jamani jiji ambalo huwezi lala njaa labda uwe mvivu kupitiliza.

Hakuna siri tena kama unataka views youtube ni hela yako tu tena ya madafu😉😉, Views 1,000 utapewa kwa buku mbili hili lenye simba, Ziwe views za vevo kama za kiba ama za kawida ni wewe tu, Comments pia zipo utaweka comments utazotaka zitokee kwa bei ya kutupa, Likes na dislikes pia kwanini zisiwepo, Ziipo sana tu kwa bei chee, Cha kufanya tembelea smmstore.pro then fata maelekezo yake ya kuweka hela then utachagua wewe mwenyewe kama ni views, like ama comments utazotaka....Mimi aoendelea kuweka hela kwa bitcoins ambazo huwa nazinunua hapa https://remitano.com/tz then namtumia kwenye adress yake, Nimewasaidia baadhi ya wasnii hapa mbeya kuboost video zao na wachache wa dar..

Damn, nimesahau kwama wabongo bila ushahidi zinabaki kuwa tetesi, Hii video nmeweka juzi na kila kitu kuanzia comments, likes na views ni mimi na nimetumia almst dola 7

Don't use this trick in your real YouTube account, Account you use it to generate income.
Your will regret.
 
Sishauri hata kidogo km una YouTube channel ununue view

Tengeneza kilicho bora
Weka tags zenye seo kubwa utapata views WA kutosha
 
ONYO: USITUMIE NJIA HII KWA ADSENSE

Mwagona....🙂🙂, Salamu ya kunyakyusa hiyo karibuni Mbeya jamani jiji ambalo huwezi lala njaa labda uwe mvivu kupitiliza.

Hakuna siri tena kama unataka views youtube ni hela yako tu tena ya madafu😉😉, Views 1,000 utapewa kwa buku mbili hili lenye simba, Ziwe views za vevo kama za kiba ama za kawida ni wewe tu, Comments pia zipo utaweka comments utazotaka zitokee kwa bei ya kutupa, Likes na dislikes pia kwanini zisiwepo, Ziipo sana tu kwa bei chee, Cha kufanya tembelea smmstore.pro then fata maelekezo yake ya kuweka hela then utachagua wewe mwenyewe kama ni views, like ama comments utazotaka....Mimi aoendelea kuweka hela kwa bitcoins ambazo huwa nazinunua hapa https://remitano.com/tz then namtumia kwenye adress yake, Nimewasaidia baadhi ya wasnii hapa mbeya kuboost video zao na wachache wa dar..

Damn, nimesahau kwama wabongo bila ushahidi zinabaki kuwa tetesi, Hii video nmeweka juzi na kila kitu kuanzia comments, likes na views ni mimi na nimetumia almst dola 7

umeelezea vizuri sasa swali langu unafanya haya kwaajili ya nini? umaarufu au nini? maana watu wanaotaka views wengi ni kwamba wanataka wapige mpunga kupitia adsense. hebu nieleweshe faida ya hizo fake views mpaka nispend hela kununua na kuweka account katika risk ya kufungiwa maana youtube wakidetect unatumia bot ujue unakula ban
 
Competition ya kushika namba nzuri youtube ni kubwa mno...leo hii ukiupload video ya dr shika unaweza kukuta upo page ya 8 huko..kama unataka utokee page ya kwanza kule juu kabisa nunua hizo views na baada ya mda mchache utapata views za watu halisi ambazo pia zinaweza kupata hela adsemse
 
Ok nimekusoma but very risk maana youtube kila siku wanaongeza security na wanaboresha alogarithm zao
 
Competition ya kushika namba nzuri youtube ni kubwa mno...leo hii ukiupload video ya dr shika unaweza kukuta upo page ya 8 huko..kama unataka utokee page ya kwanza kule juu kabisa nunua hizo views na baada ya mda mchache utapata views za watu halisi ambazo pia zinaweza kupata hela adsemse
Mtoa mada amesha toa warning kabisa, first paragraph
 
Back
Top Bottom